Ni umri gani ukifika unatakiwa kuanza kuwa makini kuchagua vyakula na vinywaji

Kuna mzee ni jirani yangu anaishi pamoja na familia yake, na mara nyingi huwa nashinda naye nyakati za jioni pamoja na wikendi tukipiga stori moja mbili tatu pamoja na nasaha enzi akiwa kijana na kipindi hiki cha utawala wa Gen Z

Sasa juzi kama kawaida mida ya jioni nimemkuta kakaa nje kibarazani nikamsalimu vizuri tu, ila ni kama hakuwa sawa. Nikamuuliza akasema anachukia pindi mke wake pamoja na vijana wake wanavyomnyanyasa kwenye issue ya chakula na vinywaji, yaani hawataki anywe soda na hawataki ale vyakula kama KFC anadai muda wote ni mchemsho na mboga mboga.

Mimi nikimwangalia mzee ni kama yuko kwenye umri wa miaka 60, anasema Afya ni muhimu sana ila dunia tunapita kama maradhi yapo ni yapo tu jamani.

Kwa upande wangu nashindwa hata nimwambie nini

Lishe haina umri mjomba. Ni umasikini tu ndiyo unaotufanya tubugie kila kitu.
 
Kuna mzee ni jirani yangu anaishi pamoja na familia yake, na mara nyingi huwa nashinda naye nyakati za jioni pamoja na wikendi tukipiga stori moja mbili tatu pamoja na nasaha enzi akiwa kijana na kipindi hiki cha utawala wa Gen Z

Sasa juzi kama kawaida mida ya jioni nimemkuta kakaa nje kibarazani nikamsalimu vizuri tu, ila ni kama hakuwa sawa. Nikamuuliza akasema anachukia pindi mke wake pamoja na vijana wake wanavyomnyanyasa kwenye issue ya chakula na vinywaji, yaani hawataki anywe soda na hawataki ale vyakula kama KFC anadai muda wote ni mchemsho na mboga mboga.

Mimi nikimwangalia mzee ni kama yuko kwenye umri wa miaka 60, anasema Afya ni muhimu sana ila dunia tunapita kama maradhi yapo ni yapo tu jamani.

Kwa upande wangu nashindwa hata nimwambie nini

Huyo kakumbana na makatazo ya madaktari, sasa hapo familia inamlinda.

Ukifikia umri wa miaka 60 kwa maisha ya sasa, presha haiepukiki, kisukari, gout na kwa wanaume :tezi dume.

Magonjwa ya presha, kisukari na gout masharti ya ulaji wa chakula yanafanana: kupunguza kiwango cha sukari, manyama ya kitimoto ama ng'ombe, vikaangwa pamoja na vyakula vingine vitamu tamu.

Hali hiyo ikitokea, yampasa mtu mwenyewe binafsi ajikubali na kufuata masharti aliyopewa bila shuruti.

Ikiingia shuruti na kusimamiwa kama mtoto mdogo, utasikia hapo mtu mzima 'anajiiba' kula kwa siri vyakula alivyokatazwa!
 
Kuna mzee ni jirani yangu anaishi pamoja na familia yake, na mara nyingi huwa nashinda naye nyakati za jioni pamoja na wikendi tukipiga stori moja mbili tatu pamoja na nasaha enzi akiwa kijana na kipindi hiki cha utawala wa Gen Z

Kuna mzee ni jirani yangu anaishi pamoja na familia yake, na mara nyingi huwa nashinda naye nyakati za jioni pamoja na wikendi tukipiga stori moja mbili tatu pamoja na nasaha enzi akiwa kijana na kipindi hiki cha utawala wa Gen Z

Sasa juzi kama kawaida mida ya jioni nimemkuta kakaa nje kibarazani nikamsalimu vizuri tu, ila ni kama hakuwa sawa. Nikamuuliza akasema anachukia pindi mke wake pamoja na vijana wake wanavyomnyanyasa kwenye issue ya chakula na vinywaji, yaani hawataki anywe soda na hawataki ale vyakula kama KFC anadai muda wote ni mchemsho na mboga mboga.

Mimi nikimwangalia mzee ni kama yuko kwenye umri wa miaka 60, anasema Afya ni muhimu sana ila dunia tunapita kama maradhi yapo ni yapo tu jamani.

Kwa upande wangu nashindwa hata nimwambie nini

zuri tu, ila ni kama hakuwa sawa. Nikamuuliza akasema anachukia pindi mke wake pamoja na vijana wake wanavyomnyanyasa kwenye issue ya chakula na vinywaji, yaani hawataki anywe soda na hawataki ale vyakula kama KFC anadai muda wote ni mchemsho na mboga mboga.

Mimi nikimwangalia mzee ni kama yuko kwenye umri wa miaka 60, anasema Afya ni muhimu sana ila dunia tunapita kama maradhi yapo ni yapo tu jamani.

Kwa upande wangu nashindwa hata nimwambie nini

anachukia pindi mke wake pamoja na vijana wake wanavyomnyanyasa kwenye issue ya chakula na vinywaji, yaani hawataki anywe soda na hawataki ale vyakula kama KFC anadai muda wote ni mchemsho na mboga mboga.

😁😁😁
 
Umri wowote ila ujanani nadhani mwili unakua active zaidi kutoa visivyohitajika na kinga kua na hali nzuri ikiwa afya yako ni njema lakini.

Na kizuri au kibaya ni kua afya zetu hazifanani, usiige wala kufata mkumbo kwenye suala lihusulo afya, usishindane kunywa,kula, kuichapa au kuchapwa utajiharibia afya yako bila sababu za msingi.
 
Me niko early 30s ila mwezi wa 7 joints za miguu zilianza kuniimbia ululuuuuyah wachukuuuucha! Nilikua nakunywa sana soft drinks, junk foods na sweets sasa nabalance zaidi ya mwezi sasa sijanywa chai ya sukari nakunywa maji mengii nilihisi dalili mbaya ila naogopa kupima naji balance kwanza.

Muhimu sana kuangalia unakula nini ukivuka tu 30 mana ushakua anko au aunty.
Nikinywa chai, uji, maziwa au chochote chenye sukari, siku yangu Huwa inakuwa mbaya Sana. Mwili Huwa napata mauzauza mpaka najuta
 
Back
Top Bottom