Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
min -me mjomba kutoka marangu sembetiNyi uro mbe kany. Msha wokye ukokutocha ukye wawa uicho tusu.
eeh braza ukikuchoma aseeh
min -me mjomba kutoka marangu sembetiNyi uro mbe kany. Msha wokye ukokutocha ukye wawa uicho tusu.
Unapajua Sembeti kumbe ni kwetu huko Sembeti, Samanga na Rauya tumekulia huko mzee.
Eeh braza bi mkubwa ni mmarangu... Malyimo ko huko tumetembea tembea kiasi chakeUnapajua Sembeti kumbe ni kwetu huko Sembeti, Samanga na Rauya tumekulia huko mzee.
Ukikuchoma mwiba wake ni mkali sana inabidi ukae kwanza. Ila Mbuzi wanapenda majani yake. Na ni dawa kama una kikohozi au tumbo kuuma unaweza kutafuna majani yake. Pia mjani yake yanawekwa kwenye nyama/supu inakuwa vizuri. Kama vile wavyoweka Iyombo.
HahahHa haujamwelewa?
Hatimaye mjomba kutoka marangu sembeti amefika 😂HahahHa haujamwelewa?
Huko mwishoni kaniachaHahahHa haujamwelewa?
Muirikire Malyimo. Aise kumbe.Eeh braza bi mkubwa ni mmarangu... Malyimo ko huko tumetembea tembea kiasi chake
Ntamwambia anasalimiwa na msachaMuirikire Malyimo. Aise kumbe.
Mimi sio mmarangu , japo nakifahamu snaaHatimaye mjomba kutoka marangu sembeti amefika 😂
we husemwi aseeh 🤣Mimi sio mmarangu , japo nakifahamu snaa
Mmbie Msacha opfo nauikyirikira. Mchuku wo Mafurunja 🤣.Ntamwambia anasalimiwa na msacha
😂 Ntamwambia inabidi umtumie mshiki mguu wa nyuma wa mbusi na paja lake mjombaMmbie Msacha opfo nauikyirikira. Mchuku wo Mafurunja 🤣.
Sio kwamba ni uroho, maana hata vyakula vyenyewe ambavyo ni bora kwa afya ni gharama ndogo tokana na eneo ulilopo.Lishe haina umri mjomba. Ni umasikini tu ndiyo unaotufanya tubugie kila kitu.
Safi Min-me. Wandu wakundi kulosha kichaka nyi, nkyi kitewe mlyeu?Mimi sio mmarangu , japo nakifahamu snaa
kulosha nkyi ki mjombaSafi Min-me. Wandu wakundi kulosha kichaka nyi, nkyi kitewe mlyeu?
Sawa sawa mjomba uje usalimie wajomba zako tuchinje mbuzi umpelekee dada yetu.😂 Ntamwambia inabidi umtumie mshiki mguu wa nyuma wa mbusi na paja lake mjomba
Kulosha ni kujifunza. Nimemuuliza min-me kwa nini watu hawapendi kunifunza lugha za asili yao. ?kulosha nkyi ki mjomba
Haina shida mjomba, miezi inakribia karibia nitakuwa huko, upo mndenyi mjomba au huku kwa chalamilaSawa sawa mjomba uje usalimie wajomba zako tuchinje mbuzi umpelekee dada yetu.
Najua tuu kiasi unamuona km min me anajua vyote. Issue ni waliokuzungika na wewe ukiwa tyr kujifunza ni rahisi,Kulosha ni kujifunza. Nimemuuliza min-me kwa nini watu hawapendi kunifunza lugha za asili yao. ?
Ila wewe naona unajua kiasi.