Ni umri gani ukifika unatakiwa kuanza kuwa makini kuchagua vyakula na vinywaji

Ni umri gani ukifika unatakiwa kuanza kuwa makini kuchagua vyakula na vinywaji

Nawaona bado sana kifkra wanaoona kufa kupo tu utakufa tu. Hata ule nini utakufa tu. SWALI NI MOJA TU KWAO. UTAKUFA KTK MAZINGIRA GANI?. TUTAKUFA WOTE NDIO LAKINI WEWE UNAEBUGIA OVYO OVYO BILA UTARATIBU UTAKUFA KWA KUUMWAJE?.

Wengi wao wanaokula nyama sana wanakufa kwa KISUKARI na BP zinazowatesa sana uzeeni. Usionbe kuumwa KISUKARI.

Kuna wale wanapita tu na wanawake bila tahadhari utawasikia UKIMWI siku hizi ni ugonjwa wa kawaida tu sawa na homa zingine halafu kuna dawa za kutosha. SIO KWELI KUNA MATESO YA KIHISIA KWA MGONJWA LAZIMA AYAPITIE. KUNA ILE HALI PIA KUNYWA DAWA KILA SIKU NI MATESO PIA. SORRY KWA MGONJWA TUNAELIMISHANA TU,ILI KUWAKOA KIZAZI KIJACHO.

Ratiba yangu ya kawaida na vyakula vyangu vya kila siku. Naamka saa 11 naingia mazoezi mazito ya kukutoa jasho sawa sawa. Mazoezi ni masaa mawili mpaka 1;30. Vyakula asubuhi unaweza kula mchemsho wa samaki au chai ya maziwa na karanga mbichi robo ¾ ya kiganja chako. Mchana unaweza kula chochote lakini isiwepo nyama. Mimi nakula wali + samaki au chapati 2 zilizopakwa pinatbutter ya karanga za kusagwa
 
Najua tuu kiasi unamuona km min me anajua vyote. Issue ni waliokuzungika na wewe ukiwa tyr kujifunza ni rahisi,

Shida huyu anaona changu ndiyo sahihi na si vingine ni ngumu kutoka nje ya hapo
Ndio shida ni muhimu kujifunza. Na Kichaga cha Vunjo ni rahisi kukijua kwa sababu hizo nyingine kwa kiasi kikubwa chimbuko lake ni hapo. Ndio maana kinafanana zaidi na Kimoshi, Kiuru na kwa kiasi Kikibosho pia kinana kwa kiasi kikubwa na kichaga cha Mamsera na Mkuu Rombo. Hao wote wakiongae nawelewa kwa asilimia 90 mpaka 99
 
Ndio shida ni muhimu kujifunza. Na Kichaga cha Vunjo ni rahisi kukijua kwa sababu hizo nyingine kwa kiasi kikubwa chimbuko lake ni hapo. Ndio maana kinafanana zaidi na Kiold Moshi, Kiuru na kwa kiasi Kikibosho pia kinana kwa kiasi kikubwa na kichaga cha Mamsera na Mkuu Rombo. Hao wote wakiongae nawelewa kwa asilimia 90 mpaka 99
Ni kweli mjomba upo sahihi.... Lugha hz hazitofautiana sana sema.... ni ile u special
 
Imekaribia ufanye kuwapeleka wajomba sembeti wakashike mbusi mguu 😂 wasikae na vyasaka

Me nipo Kigamboni aseeh
Kabisa mjomba Desemba ikifika lazima tuende zetu Sembeti tukale mbuzi, machalari, kitimoto na vingine vingi mjomba. Tuwaache Vyasaka wapigwe jua huku 😆 .
 
Ni kweli mjomba upo sahihi.... Lugha hz hazitofautiana sana sema.... ni ile u special
Mtu anaona uvivu kujifunza zaidi ya anachojua. Ila na hii ni mpaka uwe na. Interest ya kujifunza lugha mbalimbali sio wote wanapenda au kuweza.
 
Mtu anaona uvivu kujifunza zaidi ya anachojua. Ila na hii ni mpaka uwe na. Interest ya kujifunza lugha mbalimbali sio wote wanapenda au kuweza.
Nadhani hii ingetumika tungekuwa hakuna haja ya kuwa na ugumu unapokutana na mtu wa sehemu yoyote wa kule
 
Hakika, afya ilindwe kwa wivu mkubwa sana.
Ila sisi wa 40+ ni muhimu zaidi kuzingatia maana maradhi nayo yanaanza kupiga hodi, japo kama foundation ilikuwa mbovu...😅
Maisha haya...
Kila kitu kizuri unakatazwa...

Yaan watoto Wazuri unaambiwa Wana umeme


Vyakula vizuri kama nyama choma unaambiwa Acha....

Umri ukisha enda raha ni kuwaona wale wanaokutegemea wapo na amani
 
Nadhani hii ingetumika tungekuwa hakuna haja ya kuwa na ugumu unapokutana na mtu wa sehemu yoyote wa kule
Ingerahisha mawasiliano sana
Naaam ni kweli ila kizazi hiki naona at least wapo wanaotaka kukijua
Kizazi hiki ndio hakipendi kujua lugha za asili yao kabisa hasa kwa waliozaliwa mjini. Wanaona hazina tija kwao.
 
Ingerahisha mawasiliano sana

Kizazi hiki ndio hakipendi kujua lugha za asili yao kabisa hasa kwa waliozaliwa mjini. Wanaona hazina tija kwao.
Aseeh ni hatare sana....... nadhani na wazazi wanachangia utasikia mtoto wangu ajue cha nn ? au aende kwao akalogwe sasa huoni hapo Kuna shida
 
Hakuna faida ya kufa ukiwa na afya njema.

Hakuna raha yoyote ya kufika uzeeni zaidi ya upweke.

Kula chochote utakacho.
Endelea ku rationalise kwa sababu haijakukuta ila ukiambiwa figo zimekufa uanze dialysis mnaanza kulilia na kutembeza bakuli mara magroup ya whatsap ya kuomba michango.
 
Aufanyie kazi sana ushauri huu tena achukue hatua haraka sana
Naona amekimbia online ila angejua ile ni red allert anatakiwa achukue hatua za haraka sana ili asiue macho yake, figo, moyo nakadhalika. Ila ndio hivyo wengi huwa wanapuuza mpaka waje na total end organ damage.
 
Back
Top Bottom