Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 2,919
- 5,558
😆 Tarakae panakuwa kwa kasi nina baba Mdogo wangu yupo pale Urauri. Nitakuja kutembea tena huko mjomba.Tarakea mjomba kwamba eeh lau niki vaa 😂
😆 Tarakae panakuwa kwa kasi nina baba Mdogo wangu yupo pale Urauri. Nitakuja kutembea tena huko mjomba.Tarakea mjomba kwamba eeh lau niki vaa 😂
Mjomba acha basi Urauri ipi huku barabara ya lami penye msikiti au Urauri secondary??😆 Tarakae panakuwa kwa kasi nina baba Mdogo wangu yupo pale Urauri. Nitakuja kutembea tena huko mjomba.
Ni kukosa maarifa mjomba kupuza asili yetu. Watu wajifunze kwa Makabila kama Igbo Nigeria au Kikuyu Kenya wamesoma sana na wamesambaa sana dununia nzima lakini wanajali sana lugha zao za asili na tamaduni zao.Aseeh ni hatare sana....... nadhani na wazazi wanachangia utasikia mtoto wangu ajue cha nn ? au aende kwao akalogwe sasa huoni hapo Kuna shida
Me napenda asili yangu hapo hunitoi kabisa,, natafuta siku niende kwa Nayce nkafyonze mbege aseeh 🔥Ni kukosa maarifa mjomba kupuza asili yetu. Watu wajifunze kwa Makabila kama Igbo Nigeria au Kikuyu Kenya wamesoma sana na wamesambaa sana dununia nzima lakini wanajali sana lugha zao za asili na tamaduni zao.
Sikumbuki hasa ila ni mkono wa kushoto au upande wa juu kama unaenda Tarakea mjini ipo katikati hapo ni dakika kama 10 au 15 kufika Tarakea mwisho kwa kutembea.Mjomba acha basi Urauri ipi huku barabara ya lami penye msikiti au Urauri secondary??
Aaaah ni maeneo yale yale ukoo wenu ni wa kwa nani etie 😂Sikumbuki hasa ila ni mkono wa kushoto au upande wa juu kama unaenda Tarakea mjini ipo katikati hapo ni dakika kama 10 au 15 kufika Tarakea mwisho kwa kutembea.
Ndio ni muhimu hiyo mjomba.Me napenda asili yangu hapo hunitoi kabisa,, natafuta siku niende kwa Nayce nkafyonze mbege aseeh 🔥
Njoo inbox mjomba nikwambie 🤣Aaaah ni maeneo yale yale ukoo wenu ni wa kwa nani etie 😂
Ewaaah, me ntakualika kwenye mid nov tukale hapo machalari na mbege bila kusahau Serengeti lite ya baridiii 😂Ndio muhimu hiyo mjomba. Chinua Achebe once said " The pumpkin in the oldest homestead should not be approted"
Ende ria ho mbe kany.
Niliona juzi Nayce amepika na Ngararimo aise. Nitaenda hapo siku sio nyingi.
Asante sana mjomba nitashukuru sana 😃Ewaaah, me ntakualika kwenye mid nov tukale hapo machalari na mbege bila kusahau Serengeti lite ya baridiii 😂
Mleu , kapa wari tiki ulawowie mbito yose mekuSafi Min-me. Wandu wakundi kulosha kichaka nyi, nkyi kitewe mlyeu?
Onyonya ukunonze Mangi Simbaa 🤣Mleu , kapa wari tiki ulawowie mbito yose meku
Kuore mangete waiamba wachaka nyi matondo wai🤣 mbito nsi ore mboru nsa kimbatu mbatu kapsa🤣Onyonya ukunonze Mangi Simbaa 🤣
Wekyesuko naiyo, waute utondo wo iha 🤣.Kuore mangete waiamba wachaka nyi matondo wai🤣 mbito nsi ore mboru nsa kimbatu mbatu kapsa🤣
Iwa waore , shiore ndeunyi meku🤣Wekyesuko naiyo, waute utondo wo iha 🤣.
Chaloi monama kany shioree sho walaluendie, mbony tsa uriingi walekane natso.Iwa waore , shiore ndeunyi meku🤣
😆😆 makite tiki chaloi😅Chaloi monama kany shioree sho walaluendie, mbony tsa uuringi walekane natso.
Warumu wawae 🤣. Ma chandu wailuambia kirisingi, kuore chasa welukoya handu lushikie.😆😆 makite tiki chaloi😅
Bwashee, kuore wachaga waore heleri , ma inyi , ngicha cha ulofongo🤣Warumu wawae 🤣. Ma chandu wailuambia kirisingi, kuore chasa welukoya handu lushikie.