Ni uongo Kudai 80% Walikataa Mfumo wa Vyama Vingi

Du mitoto ya siku hizi hata akili kichwani hakuna.
 
Mliozaliwa miaka ya 90 mna taabu sana.

Tulilishwa hofu zote za kijamii na mikutano ilifurika watu waliokuwa hawataki multipartism. Kuna waliofikia kusema endapo itaruhusiwa watachimba mahandaki wajifiche maisha yao yote kwani vyamq vingi ni vita.

Niliyasikia na kuyaona hayo yote na hakika nilnatambua kuwa watu walipigwa brainwash kama ilivyo sasa ambapo wabongo wanajiuliza tukiitoa CCM ni chama gani mbadala.

Brainwash ni balaa la karne
 
Hujajibu swali, ni lini ilipigwa kura ya .maoni kukubali au kuu kataa mfumo wa vyama vingi?

Tume ya Warooba ya katiba mpya ilizunguka kukusanya maoni, lakini baada ya bunge la katiba ni lazima tungerudishiwa wananchi kupiga kura.

Maoni halisi ya wananchi yanapatikana kwenye referendum.
 
Bila shaka umezaliwa baada ya mwaka 1991. Au mwaka 1990-91 wakati michakato hiyo inafanyika ulikuwa bado unanyonya.
 
Hakuna kura ikiyopigwa.
Tume ya kukusanya maoni walileta takwimu zao ambazo mpakq kesho hatujui walizipataje. Lakini wwkasema asilimia 80% ya waliotoa maoni waliukataa mfumo wa vyama vingi.

Kura haikupigwa

Kama umezaliwa miaka ya 90 hata hapa hqutanielewa
 
Hata kama ulikuwepo lakini hukuwa na akili au bado huna akili mpaka sasa.
Wewe ndiye huna akili, kwa sababu hukuwepo haya yakifanyika basi unadai hayakufanyika.

kwa ulofa wa akili ulionao ipo siku utadai Tanganyika haikupata uhuru mwaka 1961 na Nyerere hakuwa Waziri Mkuu wa kwanza na rais wa kwanza wa Tanganyika kisha Tanzania.

And yet you call yourself Dr Matola Phd.
 
Pascal Mayalla ulikuwepo enzi hizo thibitisha hili.

Ni kweli 'multiparty' ilikuja kwa shinikizo la wakubwa wa dunia hilo halina ubishi.
 
Nipo Duniani tangu awamu ya kwanza, nimepiga kura awamu 5, ndio maana nimeuliza hilo, unazipataje asilimia za maoni bila upigaji kura?

Kama Ccm wanaweza kuibiana kura kwenye uchaguzi zao wenyewe ndio sembuse eti wakusanye maoni halafu wakupe majibu ya kweli tena bila kupigwa kura?
 
Swali rahisi tu unakatika mauno kibao.

Swali ni hili, ni lini Tanzania tulipiga kura za maoni? Fullstop.
 
kumbe; halmashauri kuu ya ccm walijimilikisha nchi enzi za mwalimu yanayotokea sasa sio ajali ni matokeo hasi ya ubinfsishaji wa nchi , yaani wao walikua wanafanya maamuzi kwa niaba ya bunge, na wananchi wenyewe, kura turufu ya kusanyiko la ccm inawezaje kua maamuzi ya watanzania nyie hii nchi vituko vilianza zamani, kina bashite ni matokeo tu na wengine wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…