TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 5,771
- 17,849
Kwa muda mrefu nimekua nikijiuliza hili swali bila kupata majibu muafaka.
Kila linapoibuka swala la ushoga, mara nyingi nimeona wanawake ama wakiwa hawaonyeshi kukerwa nalo, au wakilitetea. Na pia mara nyingi nimeona mashoga wengi marafiki zao wakubwa ni wanawake na wanawake hao huwa hawaoni shida kuonekana wameambatana na mashoga, kitu ambacho ni nadra sana kukuta mwanaume akiambatana na shoga waziwazi.
Sasa leo naomba akina mama mniambie nyie kwenye suala hili mpo upande gani?
a) Mnaunga mkono
b) Hamuungi mkono
c) Hamjali