Ni upi msimamo wa Wanawake kuhusu Suala la Ushoga?

Ni upi msimamo wa Wanawake kuhusu Suala la Ushoga?

Mashoga wapo aina nyingi, kama unaongelea wale wanaume wanaotembea na wanaume wenzao.. (gay)..wengi unakuta wanakua kama wana feminine personality, anapenda kuvaa vitu vya kike, kupaka make up, kutengeneza kucha,nywele etc... sasa tunakuaga nao inakua kama unavyokua na shosti wako tu..mnashare interests..hakuna lingine ndugu...

God created us equal..love one another!
Mtu kama wewe risasi saba hazikutoshi! Hii inaonyesha wewe ni hatari kiasi gani kwa malezi ya mtoto wa kiume.
 
Kichwa cha thread kimeandikwa

Ni upi msimamo wa wanawake kuhusu swala la ushoga?​

Msimamo ni mmoja.

Mleta mada kaandika kama vile wanawake wana msimamo mmoja, na wanatakiwa wauchague na kutuambia.

Ndiyo nikauliza, kwani wanawake wana msimamo mmoja kuhusu hili suala?
Mkuu acha basi kujitungia swali kwenye mtihani.. mimi nilieuliza ndio najua nachokitaka..
 
Mashoga wapo aina nyingi, kama unaongelea wale wanaume wanaotembea na wanaume wenzao.. (gay)..wengi unakuta wanakua kama wana feminine personality, anapenda kuvaa vitu vya kike, kupaka make up, kutengeneza kucha,nywele etc... sasa tunakuaga nao inakua kama unavyokua na shosti wako tu..mnashare interests..hakuna lingine ndugu...

God created us equal..love one another!
Aisee..🤔
 
Mtu kama wewe risasi saba hazikutoshi! Hii inaonyesha wewe ni hatari kiasi gani kwa malezi ya mtoto wa kiume.

Na ziwe 1000, huu ni mjadala, kama unaona huwezi kustand other people's view simply you are in a wrong platform, endelea kupiga screen yako hapo..lol...hunijui, sikujui itabaki kuwa hivyo..hata kama unadhani nina chongo au nina kichwa kama njegere, i dont care.
 
Mkuu acha basi kujitungia swali kwenye mtihani.. mimi nilieuliza ndio najua nachokitaka..
Inawezekana unajua unachotaka ila hujui kukiuliza.

Na mimi sijajitungia swali, swali umeliandika wewe.

Kwani mimi ndiye niliyeandika :-

Ni upi msimamo wa wanawake kuhusu swala la ushoga?​

Inawezekana unajua unachotaka ila hujui kukiuliza.

Na mimi sijajitungia swali, swali umeliandika wewe
Chill bro..

Btw sijui kama umeona hii sentensi:

"Sasa leo naomba akina mama mniambie nyie kwenye swala hili mpo upande gani?"
 
Wengi hawaungi mkono. Ukiona mwanamke anaunga mkono ushoga jua huyo ni wale wasagaji,malaya anayejiuza hivyo mashoga wanamsaidia kupata wateja,mpenda vya dezo anaona akiwa karibu na shoga atapata mseleleko,masharti ya waganga etc
Uko sahihi sana, sidhani kama wanawake wanafurahia hili jambo...
 
Na ziwe 1000, huu ni mjadala, kama unaona huwezi kustand other people's view simply you are in a wrong platform, endelea kupiga screen yako hapo..lol...hunijui, sikujui itabaki kuwa hivyo..hata kama unadhani nina chongo au nina kichwa kama njegere, i dont care.
Neno moja umerudisha kwa essay. Nasisitiza hufai kuwa mama, siwezi kukubaliana na maoni ambayo hayaijengi jamii bali kubomoa. Mkishafika ulaya mnajisahau sana mapopoma nyie.
 
Kwahiyo hata mwanao akifika huko utaona ni kawaida tu kisa kaamua mwenyewe?
Tuendako wanawake watajutia hili jambo.
Hii tabia ya kugeuzana wanaume inashika kasi ya hatari.
Inatangazwa kupitia movie mbalimbali.
Hofu yangu huenda kugeuzana tuendako itachukua nafasi ya mbususu.

Hili jambo lapaswa kutazanwa kwa macho 3
 
Back
Top Bottom