suzie _barbie
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 1,523
- 3,073
Hatujali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi wangapi maybe mwenzetu una takwimu!Nyie ndio mpunguziwe maana mnawaoa
Hebu ona hapa tunatoboaje kuna dhambi ni ngumu kuzikataa yarabu subhanallah.
the thread closed here. ulinena vizurUshoga ni ishara au alama ya anguko la uanaume na Sasa hivi ulimwengu kupitia wanawake upo kwenye vita dhidi ya uanaume katika kubalance power na ku neutralize ushawishi kwenye jamii zetu............
Katika kuchochea harakati hizo zimetungwa sheria nyingi sana zinazomfanya mwanamke kuwa mtakatifu na anyenyekewe.......na pia zimetungwa sheria na harakati nyingi za kuwatambua na kuwapa haki sawa wanaume wanaotamani au kutaka kuishi na kutumika kama wanawake......ndoa za jinsia moja ni ishara mojawapo........
Kwa hivyo basi anguko la MWANAMUME ni alama ya ushindi kwao na linapolewa kwa shangwe kwa kutumia msamiati wa haki za kibinadamu..............
Nyakati za nyuma kulikuwa na vita nyingi za kimamlaka baina ya himaya au Kingdoms kwa kuwa hayo ndio hasa maumbile ya uanaume........Wenye mamlaka na ulimwengu wameliona Hilo mapema na wapunguza nguvu za kimlaka na ushawishi kwa wanaume ili kuleta msawazo wa kimadalaka na ajenda zao ovu chini ya ulimwengu......
Ustawi wa uanaume katika ulimwengu ni pigo kwa mamlaka na madalaka yao ajenda zao ovu kwa kuwa wanajua.... Wenzetu Wana madhaifu katika hayo....
DUNIA INAPOELEKEA NI UTASHI WA MUNGU TU NDIO UTAKAOTUOKOA........
Hatuwafanyi teena... TulishaaachagaSawa
Binafsi huwa nawashangaa, nyie wanaume mnavyoweza kuwafanya wanaume wenzenu, kwani hamuoni vibaya,
haya unavyombenua hivyo mwenzio sasa huyo mdudu wake unakuwa wapi.
Vile mnajiona nyie ni top au head ila hiyo siyo nzuri