Muccigang
JF-Expert Member
- Apr 9, 2022
- 1,313
- 1,918
Huu ushenzi ndio kwanza unashka kasi, kuuzuia ni ngumu mno.
Hata humu wapo wengi sana, na utawagundua japo wanajificha.
Wapo pia wanaofaidika na huo ushenzi japo si moja kwa moja, wapo wanaohusika ku Push hizi agenda za ushoga kupitia taasisi za haki za kijinsia na makundi mbalimbali yanayopigania huu ushenzi.
Kuna walio ajiriwa kusapoti ama kuulinda/kuwalinda hao washenzi wasiwe kwenye hatari, sas tizama mwenyewe mtu aache pesa kisa kuupinga ushoga? Aache kazi inayosapoti mambo ambayo yeye mwenyewe hayajamkuta bado?.
Pia wapo ambao wameathirika na colonial education/utandawazi kwa kujiona wako sawa na watu wa magharibi kijamii na kimalezi mpaka kufikia kuchukulia powa haya mambo na kuupa uhuru huo mfumo wa ushenzi ktk jamii, watu wa kundi hili ndio hujiona wasiojari ama kusema hawana msimamo na haya mambo, kumbe behind the scene elimu/mfumo mbaya wa kizungu ulishaharibu akili zao.
Pia wapo wanaofanya/fanywa huo ushenzi utawaona hata humu wanakasirika sana kusikia hizi mada zinavyowaponda, na wako wengi si wanaume tu hata wanawake wako wengi, kama huamin mchunguze rafiki yako wa kike ktk browsers zake sehemu ya history ujionee ni kipi hasa hupenda kutizana kwa vificho, kama anafuatiliaga porn sites fuatilia ni sex priorities zipi hufuatilia kama sio shemales&lesbians videos ama zinazohusika na hizi ujuwe hapo kapona, lkn zikiwepo hizi, hapo hakuna mtu the same kwa wanaume wanaoweza kutizama video za ushoga bila aibu hawa nao ni wale wale.
Dunia ya sasa imekwisha, kupambana na ushoga ni ngumu na haiwezekan kwa nchi kama yetu, maana hawa washenzi ndio wanaomiliki uchumi wa dunia kwa kiasi kikubwa hivyo karibia kila jambo la kiuchumi, kijamii, na kisiasa lina mikono yao na sheria zao mbalimbali, hivyo ni ngumu kuwakwepa, ukiwakwepa kwa malezi bora ya familia watakukamata kwenye elimu huko mashulen bording kama sio huko bas kwnye vipindi vya Tv, kama sio huko hata ktk michezo na matamasha ya celebrities huwa controlled na watu wa sample hizi za ushenzi.
Ndiomaana yule bwana japo alkuwa mbabe lkn hakuweza kukemea hili jambo direct japo kijana wake alijaribu nazan mkaona high pressure ya upinzan ilitoka kwa watu gani, na hao waliompinga ndio ORIGINAL GAYS&LESBIANS na wanaosapoti ushoga nchini....
Dunia iishe kisa ushoga rudi nyuma kipind cha utumwa ile haikua dalili ya mwisho wa dunia?