Mr E-series
Member
- Feb 21, 2019
- 28
- 54
Ila yote tisa, Kumi la hii view mpya ya jamii forum sijaipenda kabisa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chukua time...Mkuu huyo zezeta achana nae
Una tatizo la uelewa halafu unajifanya mjuaji, stupid.Wakishafika(ga) mamtoni akili wanazihamishia kwenye vinyeo hao. Upuuzi mtupu.
Kwa muda mrefu nimekua nikijiuliza hili swali bila kupata majibu muafaka.
Kila linapoibuka swala la ushoga, mara nyingi nimeona wanawake ama wakiwa hawaonyeshi kukerwa nalo, au wakilitetea. Na pia mara nyingi nimeona mashoga wengi marafiki zao wakubwa ni wanawake na wanawake hao huwa hawaoni shida kuonekana wameambatana na mashoga, kitu ambacho ni nadra sana kukuta mwanaume akiambatana na shoga waziwazi.
Sasa leo naomba akina mama mniambie nyie kwenye suala hili mpo upande gani?
a) Mnaunga mkono
b) Hamuungi mkono
c) Hamjali
Kwahiyo hata mwanao akifika huko utaona ni kawaida tu kisa kaamua mwenyewe?
Unajua hayo mambo yanafanywa faragha chá muhimu yasipewe promo tu. Ili kuokoa vizazi vinavyokuja,sifurahishwi na wanavyojiachia maana inaonekana ni jambo lá kawaida wakati si kweli kila mtu afanye mambo yake sirini tusianike
Tena yana Mapembe kama ya Ng'ombe.Kweli jf Imejaa mashetani.
Ngoja niongelee sababu ya mimi kutojali.
Mwanzoni nilikuwa sipendi kabisa kuwasikia mashoga wala hata kuwaona na nilikuwa nawaona kwenye mitandao hii ya kijamii.Nilipofika chuo mwaka wa kwanza hostel nikapangwa na lesbians wawili kwenye chumba cha watu wanne.Mmoja alikuwa ni wale waongeaji wachekeshaji sana kwa hiyo baada ya week tu akasema kabisa mimi napenda wasichana wenzangu.Kusema kweli nilishtuka kwa sababu huwezi kumdhania ni msichana mzuri sana na wala hana viashiria vya kupenda labda sijui nguo za kiume wala nini ila sisi mule tukapotezea,huyu wa pili alikuwa sio muwazi kama mwenzake na ilichukua kama miezi mitatu hivi ndio akaniambia mimi na mwingine aliyejua ni yule lesbian mwenzie.Room mate mwenzetu mpaka tunaondoka hakujua na hakumwambia.
-Sasa hawa watu ndio walikuwa na marafiki zao wa kiume ambao wengi walikuwa ni hao gays na walikuwa wakija pale room kwetu.Mimi nilikuwa naongea nao kawaida tunapiga stori,tunacheka,tunashare interest za movies na series,tunawaponda wanaume tunadate nao ilikuwa ni kama ni extended female circle.Sasa mtu akikuta room anakusalimia kwa heshima,hajawai kukudharau wala kukuonyesha lolote baya kwako nianze kumchukia ghafla kisa ya uchaguzi wa raha zake uko faragha kwani mimi ni malaika hapa duniani sina dhambi.
-Hii ndio sababu nimekaa kimya nachukulia kawaida kwa sababu mwisho wa siku na wao ni watu kama mimi wenye mazuri na mabaya yao.Sisemi kama naungana nao kwamba wanachokifanya ni sahihi ila huwezi nikuta nawatukana kwa sababu eti ni shoga au ni lesbian
Ni kweli..personal/private matters..should remain private...sasa kuna watu wanataka kuchukulia private matters za watu kama zina national interest vile, kwamba ushoga ni oxygen,ikikosekana jamii ita suffocate.. very wrong..sasa mtu hakuboi, yuko dependable anakusaidia mambo mengi ,you share laughter..he/she is making you happy.,and you can trust her/him and call her/him a friend...then uwe source ya matatizo kwake, kisa tu una beliefs/values zako ambazo unaona unaweza ukam force nazo... very unfair!...nimependa post yako mkuu...
Watu wengi wanaopinga kwa mihemko mambo haya wanapinga kwa kukosa elimu, kukosa sophistication, kukosa kusafiri sehemu mbalimbali duniani. Kutoelewa autonomy, self determination etc.
Ukipata elimu, ukiwa sophisticated, ukisafiri, yani utawaona hao gays and lesbians kama vegetarians tu, watu walioamua kuishi bila kula nyama.
Tofauti kubwa ni morality ya dini.
Hii ndiyo inawapa watu mihemko.
Na hata hiyo morality ya dini watu wanaitumia selectively.
Wanasiasa wao kila siku wanawapiga hela ndefu, CAG report imejaa wizi wa pesa za umma.
Lakini wao wameshikia bango watu wanaotaka kugawa mikundu yao.
Jamani, mikundu yao, ku.ma zao, wanagawa wanavyotaka, tatizo liko wapi?
Subhanallah upunguziwe adhabu siku ya kiama.Sisi hatuna shida sana nyie ambao mnajifanya hamuambatani não lakin mnalala nao kwenye mahoteli ndio tuwahoji maana mkiacha hizo tabia za kuwalala wanawezaebadilika
Nyie ndio mpunguziwe maana mnawaoaSubhanallah upunguziwe adhabu siku ya kiama.
We mdada uko open minded sana, nakutamani sana, watu kama wewe sikutani nao mitaani, Au nihame huku Mbagala niwe naishi hata Mikocheni? Nahisi maeneo tunayokaa nayo ni tatizo.
Nimeshindwa kujizuia, nimecheka kwa nguvu na kwa sauti lol.Nyie ndio mpunguziwe maana mnawaoa
Mungu hayupo, tunamsingizia tu.[emoji23][emoji23][emoji23] aaah kwnza mungu ndo kawaumba mashoga usisahau maana watu wanazaliwa naturally