Ni upi msimamo wa Wanawake kuhusu Suala la Ushoga?

Ni upi msimamo wa Wanawake kuhusu Suala la Ushoga?

Maisha yanahitaji uvumilivu mkubwa sana ili uweze kuyaishi na kupunguza stress, sidhani kama wengi tunapenda ila tumejifunza kuvumilia.

Btw, kwanini hili swali limeletwa kwa wanawake? Wanaume wawili wenye vinyweleo vilivyosimama wameamua waingiziane, hapa wanawake tunatakiwa kufanya nini? Kupinga? tukipinga mtaacha? ni mangapi tumepinga na hamjaacha? Hili ni battle lenu wanaume msitake tuwapiganie...

Binafsi nadhani mwanaume ndio kiumbe wa kwanza kuchanganyikiwa duniani wanawake ndio tukafuatia, Kutetereka kwa mwanaume ndio kumeyumbisha dunia hadi leo na hatuwezi tena kuziba nyufa.

If it is a blame game... maoni yangu yangekuwa haya.
Uzoefu wangu mdogo umeonyesha kwamba mara nyingi wanaume wako active zaidi kwenye kupinga ushoga kuliko wanawake. Ndio maana nikataka kujua kwani nyie wenzetu hili suala mnalichukuliaje? So far inaonekana ni kama hamjali sana mmeacha mambo yaende hivyo hivyo..?
 
Wanawake wengi ambao hawana tatizo na ushoga hawana tatizo la mfumodume.

Kupinga ushoga mara nyingi ni sehemu ya mfumodume.

Yani wewe mwanamme unayethamini sana uanamme wako, na dhakari yako, unadhalilika sana unapomuona mwanamme mwenzako kama kajikata dhakari kaitupa, kaamua kuishi kama mwanamke. Unaona hili ni tusi kwa uanamme.

Kwako wewe uanamme ni power, kuwa mwanamke au mtu asiye mwanamme ni udhalili na udhaifu. Sasa unashangaa kwa nini huyu mwanamme amekataa uanamme na anajipeleka kwenye uanamke?

Unapinga sana jambo hili. Kwa sababu, ndani kabisa, unaona jambo hili linakupunguzia nguvu hata wewe mwanamme ambaye hujaamua kuwa shoga. Uanaume wote unadhalilishwa.

Wanawake wengi hawana tatizo hili. Kwa sababu hawana solidarity na mfumodume kama wanaume. Ingawa wapo waliokuzwa katika mfumodume na kuukumbatia, pengine bila hata kujua.

Ndiyo maana Dinazarde anakuambia kirahisi tu kwamba hana tatizo na mtu anayeamua kugawa makalio yake mwenyewe. Hana solidarity na mfumodume.

Mfumodume unaweka ukweli wa kutengenezwa kwamba ushoga unadhalilisha uanaume.

Wakati ushoga ni lifestyle ya mtu tu, kama anavyoamua kusuka au kunyoa nywele. Ni haki ya mtu kujiamulia anavyotaka kuishi, autonomy.

Wanaume tulio secure katika uanaume wetu hatuna tatizo hilo la mfumodume la kuona ushoga unadhalilisha uanaume. Tunaelewa individuality ni nini, autonomy ni nini, self determination ni nini.

Na kama ambavyo tusiopenda kuwa mashoga tunavyopenda kuachiwa uhuru wa kutokuwa mashoga, wanaopenda kuwa mashoga nao waachiwe uhuru wao wa kuwa mashoga hivyo hivyo.
 
Uzoefu wangu mdogo umeonyesha kwamba mara nyingi wanaume wako active zaidi kwenye kupinga ushoga kuliko wanawake. Ndio maana nikataka kujua kwani nyie wenzetu hili suala mnalichukuliaje? So far inaonekana ni kama hamjali sana mmeacha mambo yaende hivyo hivyo..?
Serikali sii ifanye kuwaita kisiasa ili wajitokeze wapigwe missile kabisa unajua nchi inaanzaga kulaniwa hivi hivi hawaviumbe ni moja wapo ya dhambi kubwa sana
#hawafai kuishi
 
Sawa
Binafsi huwa nawashangaa, nyie wanaume mnavyoweza kuwafanya wanaume wenzenu, kwani hamuoni vibaya,

haya unavyombenua hivyo mwenzio sasa huyo mdudu wake unakuwa wapi.

Vile mnajiona nyie ni top au head ila hiyo siyo nzuri
We mtazamo wako upoje ktk suala hili la ushoga?
Je ni sawa wanawake waendelee kuona kuwa ni sawa tu mashoga waendelee kubanduliwa ndi maana wana ukaribu nao?
 
Wanawake wengi ambao hawana tatizo na ushoga hawana tatizo la mfumodume.

Kupinga ushoga mara nyingi ni sehemu ya mfumodume.

Yani wewe mwanamme unayethamininsananuanamme wako, na dhakari yako, unadhalilika sana unapomuona mwanamme mwenzako kama kajikata dhakari kaitupa, kaamua kuishi kama mwanamke. Unaona hili ni tusi kwa uanamme.

Kwako wewe uanamme ni power, kuwa mwanamke au mtu asiye mwanamme ni udhalili. Sasa unashangaa kwa nini huyu mwanamme amekataa uanamme na anajipeleka kwenye uanamke?

Unapinga sana jambo hili. Kwa sababu, ndani kqbisa, unaona jambo hili linqkupunguzia nguvu hata wewe mwanamme qmbaye hujaamua kuwa shoga. Uanaume wote unadhalilishwa.

Mfumodume unaweka ukweli wa kutengenezwa kwamba ushoga unadhalilisha uanaume.

Wakati ushoga ni lifestyle ya mtu tu, kama anavyoamua kusuka au kunyoa nywele. Ni haki ya mtu kujiamulia anavyotaka kuishi, autonomy.

Wanaume tulio secure katika uanaume wetu hatuna tatizo hilo la mfumodume la kuona ushoga unadhalilisha uanaume. Tunaelewa individuality ni nini, autonomy ni nini, self determination ni nini.

Na kama ambavyo tusiopenda kuwa mashoga tunavyopenda kuachiwa uhuru wa kutokuwa mashoga, wanaopenda kuwa mashoga nao waachiwe uhuru wao wa kuwa mashoga hivyo hivyo.
So kwa kuwa wewe hauna tatizo la mfume dume kwa hiyo mwanao wa kiume akiwa na vishiria vya kuwa shoga huwezi kumshawishi abadili mawazo hayo?
 
Kwa muda mrefu nimekua nikijiuliza hili swali bila kupata majibu muafaka.

Kila linapoibuka swala la ushoga, mara nyingi nimeona wanawake ama wakiwa hawaonyeshi kukerwa nalo, au wakilitetea. Na pia mara nyingi nimeona mashoga wengi marafiki zao wakubwa ni wanawake na wanawake hao huwa hawaoni shida kuonekana wameambatana na mashoga, kitu ambacho ni nadra sana kukuta mwanaume akiambatana na shoga waziwazi.

Sasa leo naomba akina mama mniambie nyie kwenye swala hili mpo upande gani?
a) Mnaunga mkono
b) Hamuungi mkono
c) Hamjali
Mkuu ngoja nikwambie kitu huu ni ukweli asilimia 50........ Wanawake wanaoongozana na mashoga ni wale wanawake wasagaji........ Wanawake hao hua wanafanya mapenzi na mashoga kivip hua wanawaingilia mashoga na madildo kinyume na maumbile.......
 
Maisha yanahitaji uvumilivu mkubwa sana ili uweze kuyaishi na kupunguza stress, sidhani kama wengi tunapenda ila tumejifunza kuvumilia.

Btw, kwanini hili swali limeletwa kwa wanawake? Wanaume wawili wenye vinyweleo vilivyosimama wameamua waingiziane, hapa wanawake tunatakiwa kufanya nini? Kupinga? tukipinga mtaacha? ni mangapi tumepinga na hamjaacha? Hili ni battle lenu wanaume msitake tuwapiganie...

Binafsi nadhani mwanaume ndio kiumbe wa kwanza kuchanganyikiwa duniani wanawake ndio tukafuatia, Kutetereka kwa mwanaume ndio kumeyumbisha dunia hadi leo na hatuwezi tena kuziba nyufa.

If it is a blame game... maoni yangu yangekuwa haya.
Yes, primarily hili suala ni letu wanaume moja kwa moja. Ila mtoa mada kwa kuzingalia jamii, viashiria, vianzilishi na vichangiaji (support), na pia kwa kuangalia position/ role ya wanawake kwenye hili ndio maana akaanzisha mada.
  1. Maana mwanamke ana mchango mkubwa sana sana kwenye malezi (Msimamo wake kiulezi kwenye hili ni nini?)
  2. Pia socially (Kwenye matukio ya kijamii), mwanamke anaonekana na ushosti na watu hawa, je wanaona ni sawa tabia hii?
 
So kwa kuwa wewe hauna tatizo la mfume dume kwa hiyo mwanao wa kiume akiwa na vishiria vya kuwa shoga huwezi kumshawishi abadili mawazo hayo?
Sijadili familia yangu JF katika masuala yaliyo ya kufikirika tu (hypothetical) kuhusu mambo ya faragha zao.

Mtu anayeelewa umuhimu wa familia anaweza kuelewa na kuheshimu msimamo huu.

Mtu asiyeelewa umuhimu wa msimamo huu hajafikia viwango vya kuweza kujadiliana kwa tija.
 
Yes, primarily hili suala ni letu wanaume moja kwa moja. Ila mtoa mada kwa kuzingalia jamii, viashiria, vianzilishi na vichangiaji (support), na pia kwa kuangalia position/ role ya wanawake kwenye hili ndio maana akaanzisha mada.
  1. Maana mwanamke ana mchango mkubwa sana sana kwenye malezi (Msimamo wake kiulezi kwenye hili ni nini?)
  2. Pia socially (Kwenye matukio ya kijamii), mwanamke anaonekana na ushosti na watu hawa, je wanaona ni sawa tabia hii?
Asante kwa kuliweka vizuri. Kama tuna nia ya dhati ya kupambana na hili tatizo nadhani hatuwezi ku ignore nafasi ya mwanamke kama mlezi mkuu wa familia. Na mtizamo wa mwanamke kwenye swala la ushoga unaweza kuwa na athari chanya au hasi kwa mtoto.
 
Sijadili familia yangu katika masuala yaliyo ya kufikirika tu (hypothetical) kuhusu mambo ya faragha zao.

Mtu anayeelewa umuhimu wa familia anaweza kuelewa na kuheshimu msimamo huu.

Mtu asiyeelewa umuhimu wa msimamo huu hajafikia viwango vya kuweza kujadiliana kwa tija.
Kwa hiyo ushauri wako wewe kama wewe, tuseme kwa wanafamilia yako ni nini ktk suala hili lililoletwa humu jamvini?
 
Ushoga ni ishara au alama ya anguko la uanaume na Sasa hivi ulimwengu kupitia wanawake upo kwenye vita dhidi ya uanaume katika kubalance power na ku neutralize ushawishi kwenye jamii zetu............

Katika kuchochea harakati hizo zimetungwa sheria nyingi sana zinazomfanya mwanamke kuwa mtakatifu na anyenyekewe.......na pia zimetungwa sheria na harakati nyingi za kuwatambua na kuwapa haki sawa wanaume wanaotamani au kutaka kuishi na kutumika kama wanawake......ndoa za jinsia moja ni ishara mojawapo........

Kwa hivyo basi anguko la MWANAMUME ni alama ya ushindi kwao na linapolewa kwa shangwe kwa kutumia msamiati wa haki za kibinadamu..............

Nyakati za nyuma kulikuwa na vita nyingi za kimamlaka baina ya himaya au Kingdoms kwa kuwa hayo ndio hasa maumbile ya uanaume........Wenye mamlaka na ulimwengu wameliona Hilo mapema na wapunguza nguvu za kimlaka na ushawishi kwa wanaume ili kuleta msawazo wa kimadalaka na ajenda zao ovu chini ya ulimwengu......

Ustawi wa uanaume katika ulimwengu ni pigo kwa mamlaka na madalaka yao ajenda zao ovu kwa kuwa wanajua.... Wenzetu Wana madhaifu katika hayo....

DUNIA INAPOELEKEA NI UTASHI WA MUNGU TU NDIO UTAKAOTUOKOA........
 
Asante kwa kuliweka vizuri. Kama tuna nia ya dhati ya kupambana na hili tatizo nadhani hatuwezi ku ignore nafasi ya mwanamke kama mlezi mkuu wa familia. Na mtizamo wa mwanamke kwenye swala la ushoga unaweza kuwa na athari chanya au hasi kwa mtoto.
Daaaaah,narefer Irene Uwoya vile anavyomlea mwanae,Mungu amuepushe Krishna aiseee
 
Kwa muda mrefu nimekua nikijiuliza hili swali bila kupata majibu muafaka.

Kila linapoibuka swala la ushoga, mara nyingi nimeona wanawake ama wakiwa hawaonyeshi kukerwa nalo, au wakilitetea. Na pia mara nyingi nimeona mashoga wengi marafiki zao wakubwa ni wanawake na wanawake hao huwa hawaoni shida kuonekana wameambatana na mashoga, kitu ambacho ni nadra sana kukuta mwanaume akiambatana na shoga waziwazi.

Sasa leo naomba akina mama mniambie nyie kwenye suala hili mpo upande gani?
a) Mnaunga mkono
b) Hamuungi mkono
c) Hamjali
Yaarab salama. Hakuna hodari wala bingwa kwenye malezi.

Ila kuna mambo yanashangaza. Utakuta mama Ana mtt shoga lkn ndio anakuwa rafiki yake, mwandani wake na msiri wake. Ni kama vile anasapoti hali ya mwanawe. Na kuna wengine wanaletewa hadi pesa na zawadi zipatikanazo kwa njia ya mtt wake kutumika katika masuala ya ushoga.
Sasa kama hali imefikia hivi ni kweli hili jambo litapungua kweli!!!?

Maana wengine wapo kwenye harakati ya kupiga vita suala hili lipungue ikiwezekana liondoke kwenye jamii zetu. Lkn wengine ndio kama hivyo wanasapoti.
 
Back
Top Bottom