DingiMbishi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2021
- 449
- 647
HII COMMENT NGOJA NIKAIWEKEE LAMINATION KABISA NIIPRINT NIIBANDIKE NYUMBANI KWANGU UKUTANI WANANGU WA KIUME NA WA KIKE WAIONE KAMA UJUMBE WA BABA YAO KWAO.Ushoga ni ishara au alama ya anguko la uanaume na Sasa hivi ulimwengu kupitia wanawake upo kwenye vita dhidi ya uanaume katika kubalance power na ku neutralize ushawishi kwenye jamii zetu............
Katika kuchochea harakati hizo zimetungwa sheria nyingi sana zinazomfanya mwanamke kuwa mtakatifu na anyenyekewe.......na pia zimetungwa sheria na harakati nyingi za kuwatambua na kuwapa haki sawa wanaume wanaotamani au kutaka kuishi na kutumika kama wanawake......ndoa za jinsia moja ni ishara mojawapo........
Kwa hivyo basi anguko la MWANAMUME ni alama ya ushindi kwao na linapolewa kwa shangwe kwa kutumia msamiati wa haki za kibinadamu..............
Nyakati za nyuma kulikuwa na vita nyingi za kimamlaka baina ya himaya au Kingdoms kwa kuwa hayo ndio hasa maumbile ya uanaume........Wenye mamlaka na ulimwengu wameliona Hilo mapema na wapunguza nguvu za kimlaka na ushawishi kwa wanaume ili kuleta msawazo wa kimadalaka na ajenda zao ovu chini ya ulimwengu......
Ustawi wa uanaume katika ulimwengu ni pigo kwa mamlaka na madalaka yao ajenda zao ovu kwa kuwa wanajua.... Wenzetu Wana madhaifu katika hayo....
DUNIA INAPOELEKEA NI UTASHI WA MUNGU TU NDIO UTAKAOTUOKOA........
Asante sana Mkuu