papaayenga
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 765
- 503
Wacha weeee
Ni hatari sana, wee acha tuhuyu ndio nguva original teh teh
Mkuu Kaka Kiiza, kwanza asante kuamini kuwa viumbe hao wapo!, maadam unaamini, then, enendelea kuamini hivyo, ila in reality, hakuna kitu kama hicho!.Mimi bado naamini hawa viumbe wapo hawani maprofesa wanajidili hi viumbe tazama hapa https://www.youtube.com/watch?v=dMaIlFyVKWM Pasco https://www.youtube.com/watch?v=wgb6UGrx9z0
Sawa mkuu ila sijui kwa ulimwengu kuwa na watu kama mimi wanaamini kuwa hivi vitu vipo basi yamkini vipo kweli kwani hata wanazuoni wanakuna vichwa kuamini kama vipo au lah!Mkuu Kaka Kiiza, kwanza asante kuamini kuwa viumbe hao wapo!, maadam unaamini, then, enendelea kuamini hivyo[/COLOR][/URL], ila in reality, hakuna kitu kama hicho!.
Thanks
Pasco
Dunia nzima wawe na story za aina moja??ukiona hivyo lazima litakuwa na jambo la ndani!lenye kusadikika.Story tu hizi!!!!
Mkuu Kaka Kiiza, kwa vile tuu dunia nzima wamedanganyika na wewe unajikubali kuendelea kudanganyika hata baada ya kuelezwa ukweli kuwa kitu kama hicho hakipo!.Sawa mkuu ila sijui kwa ulimwengu kuwa na watu kama mimi wanaamini kuwa hivi vitu vipo basi yamkini vipo kweli kwani hata wanazuoni wanakuna vichwa kuamini kama vipo au lah!
Dunia nzima wawe na story za aina moja??ukiona hivyo lazima litakuwa na jambo la ndani!lenye kusadikika.
Sasa kwahayo mengine mimi sipo maana hadi sasa sijui mbinguni mwisho wake ni wapi!hata hii sayari tunayoishi bado ina utata hata wakati mimi nipo primary niliambiwa na nikasoma nikaamini sayari ni 9 lakini baaadae nikasoma nikaja kugundua sayari ni nyingi sasa kwa hili mimi naishia hapa!Mungu alipo sijui najua ni mawinguni juu kutokana na vitabu vyetu vya imani!Mkuu Kaka Kiiza, kwa vile tuu dunia nzima wamedanganyika na wewe unajikubali kuendelea kudanganyika hata baada ya kuelezwa ukweli kuwa kitu kama hicho hakipo!.
Ila pia sishangai kwa watu kuendelea kudanganyika kwa mengi, mfano kuna uongo mkubwa kuwa Mungu yuko Mmbinguni ambako ni mawinguni!. Mungu hakai mbinguni, Mungu yupo hapa hapa dunuini, yuko ndani yako na ndani ya kila mtu!. Mbinguni, peponi na motoni kote ni hapa hapa duniani, sio mawinguni, sio peponi na wala sio juu!.
Endelea kuuamini uongo huo as long as roho yako, moyo wako na nafsi yako imeamini huo ndio ukweli weko, then amini unachoamini ili roho yako itulie!.
Asante.
Pasco
Picha yawezekana haina uhalisia laikini huu uvumi wakuwa kiumbe hiki yupo ni mezisikia tangu nazaliwa! hadi leo na uzee huu!ila ukiangalia hizi documentary za youtube nilizoweka hapo bado naamini yamkini hiki kiumbe kipo nakuonekana kwake ni nadra sana!Viumbe hivyo vinaweza kuonekana na baadhi ya watu fulani tu katika mazingira fulani. Kwa ujumla ni viumbe vya kiroho, ningesema kwa ujumla ni majini. Majini yanaweza kujitokeza katika umbile lolote lile maadam inakidhi haja yake. Hivyo uwezekano wa kiumbe kama hicho upo hata viumbe vya ajabu zaidi vipo na hata katika mazingira ya kitanzania watu wengi sana wanaona mambo kama hayo ili wanajua kwamba ni viumbe vya kiroho tu. Lakini hapa uwezekano mkubwa ni kwamba hiyo ni picha tu na haina uhalisia wowote.
A hoax just like this..........
kaka nashuka Kwa Kopa hapoHuyo samakinguva yupo kweli na mimi nishawah kumvua mwaka 93 huko Kilwa
Kivinje, nilistuka sana nilipomuona lkn nikajipa ujasir wa kumchukua wavuv wenzangu wakaniambia huyo ni nguva na wakataka kufanya nae mapenz ila sikuwaruhusu wafanye huo upuuz wao.
Siamini, nguva hakuna