Ni upi ukweli kuhusu Nguva (Samaki mtu)?

Ni upi ukweli kuhusu Nguva (Samaki mtu)?

always people judge u on the result of ur head.a news paper man want sell his pepar on deceving report.and u?
 
cf480221e3d4e7308a3960eb2aff734a.JPG

Wacha weeee

huyu ndio nguva original teh teh
 
Mkuu Kaka Kiiza, kwanza asante kuamini kuwa viumbe hao wapo!, maadam unaamini, then, enendelea kuamini hivyo[/COLOR][/URL], ila in reality, hakuna kitu kama hicho!.

Thanks

Pasco
Sawa mkuu ila sijui kwa ulimwengu kuwa na watu kama mimi wanaamini kuwa hivi vitu vipo basi yamkini vipo kweli kwani hata wanazuoni wanakuna vichwa kuamini kama vipo au lah!

Story tu hizi!!!!
Dunia nzima wawe na story za aina moja??ukiona hivyo lazima litakuwa na jambo la ndani!lenye kusadikika.
 
Mkuu Kaka Kiiza, kwa vile tuu dunia nzima wamedanganyika na wewe unajikubali kuendelea kudanganyika hata baada ya kuelezwa ukweli kuwa kitu kama hicho hakipo!.

Ila pia sishangai kwa watu kuendelea kudanganyika kwa mengi, mfano kuna uongo mkubwa kuwa Mungu yuko Mmbinguni ambako ni mawinguni!. Mungu hakai mbinguni, Mungu yupo hapa hapa dunuini, yuko ndani yako na ndani ya kila mtu!. Mbinguni, peponi na motoni kote ni hapa hapa duniani, sio mawinguni, sio peponi na wala sio juu!.

Endelea kuuamini uongo huo as long as roho yako, moyo wako na nafsi yako imeamini huo ndio ukweli weko, then amini unachoamini ili roho yako itulie!.

Asante.

Pasco
 
Viumbe hivyo vinaweza kuonekana na baadhi ya watu fulani tu katika mazingira fulani. Kwa ujumla ni viumbe vya kiroho, ningesema kwa ujumla ni majini. Majini yanaweza kujitokeza katika umbile lolote lile maadam inakidhi haja yake. Hivyo uwezekano wa kiumbe kama hicho upo hata viumbe vya ajabu zaidi vipo na hata katika mazingira ya kitanzania watu wengi sana wanaona mambo kama hayo ili wanajua kwamba ni viumbe vya kiroho tu. Lakini hapa uwezekano mkubwa ni kwamba hiyo ni picha tu na haina uhalisia wowote.
 
Sasa kwahayo mengine mimi sipo maana hadi sasa sijui mbinguni mwisho wake ni wapi!hata hii sayari tunayoishi bado ina utata hata wakati mimi nipo primary niliambiwa na nikasoma nikaamini sayari ni 9 lakini baaadae nikasoma nikaja kugundua sayari ni nyingi sasa kwa hili mimi naishia hapa!Mungu alipo sijui najua ni mawinguni juu kutokana na vitabu vyetu vya imani!

Viumbe hivyo vinaweza kuonekana na baadhi ya watu fulani tu katika mazingira fulani. Kwa ujumla ni viumbe vya kiroho, ningesema kwa ujumla ni majini. Majini yanaweza kujitokeza katika umbile lolote lile maadam inakidhi haja yake. Hivyo uwezekano wa kiumbe kama hicho upo hata viumbe vya ajabu zaidi vipo na hata katika mazingira ya kitanzania watu wengi sana wanaona mambo kama hayo ili wanajua kwamba ni viumbe vya kiroho tu. Lakini hapa uwezekano mkubwa ni kwamba hiyo ni picha tu na haina uhalisia wowote.
Picha yawezekana haina uhalisia laikini huu uvumi wakuwa kiumbe hiki yupo ni mezisikia tangu nazaliwa! hadi leo na uzee huu!ila ukiangalia hizi documentary za youtube nilizoweka hapo bado naamini yamkini hiki kiumbe kipo nakuonekana kwake ni nadra sana!
 
Huyo samakinguva yupo kweli na mimi nishawah kumvua mwaka 93 huko Kilwa
Kivinje, nilistuka sana nilipomuona lkn nikajipa ujasir wa kumchukua wavuv wenzangu wakaniambia huyo ni nguva na wakataka kufanya nae mapenz ila sikuwaruhusu wafanye huo upuuz wao.
kaka nashuka Kwa Kopa hapo
 
nimeulizwa maswali haya na nimeshindwa kuyajibu sijui wewe unisaidie.

1.unaamin uwepo wa samaki mtu yaan NGUVA?

2.kama unaamin ulishawah kuona pcha ama kusikia kuwa kuna nguva wa kiume?

3.kama hakuna nguva dume je wanazalianaje?

4.ulishawah kusikia kuwa kuna nguva mweusi(mwafrika)? Tafadhal nisaidie kwenye hil
 
Attachments

  • mermaid.jpg
    mermaid.jpg
    64.8 KB · Views: 391
>>>https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/357278-ukweli-kuhusu-nguva-samaki-mtu-4.html
 
Wanavodai wapo ila hata siamini maana angepatikana hata mmoja toka duniaa ilipoanzishwa lkn hajawahi kuvuliwa wala mzoga kuonekana km samaki hawa wapo kwa hiyo huo uwongo hakuna nguza
 
Siamini, nguva hakuna

Nguva ni samaki wa kawaida anyeishi kwenye maji ya kina kirefu wala hafanani na binadamu nilimuona pale makumbusho ya taifa posta kwenye jengo jeupe amekaushwa kawekwa kwenye box la vioo ili aonekane

nikauliza swali je kuna nguva anayefanana na binadamu
akanijibu mara nyingi hawa nguva hukaa chini ya maji ambapo kuna majani wanapoibuka yale majani huwa yamefunika vichwa vyao ndio maana eanahusisha na samaki mtu
hizi ni imani tu unaweza kutembelea pale mkuu nakumbuka nilitembelea 2005 au 6
 
Back
Top Bottom