Ni upi ukweli kuhusu Nguva (Samaki mtu)?

Preta......Preta.....Preta.......Preta......!!

Umewahi kumuona wapi mama???? Haya tujuze ulimuona wapi Dogo???
Preta alimuona kwenye kitabu cha shule ya msingi..................LOL
 
Last edited by a moderator:
Mbona kweye hizi picha hatuoni K ilhali wapo uchi???

.............na siri kubwa ya hawa samaki ni hapo "K"............., ina fanana sana na ya binaadamu na wana maziwa kama binaadamu ! ....ila ni samaki na jumba la makumbusho hapo Dar yupo.
Tatizo kubwa huwa wavuvi hawaaminiwi wanapokuwa wamemvua, kwani ziko hadithi za "kumchakachua" !:A S 11::mwaaah:
Hivyo kiumbe kikichakachuliwa ni haramu kukila/kumla !
 

Sasa mbona huyo hapo makumbusho hana maziwa?
 


Hizi ndo alfu lela ulela....hizi lol
 
Huwa wanapatikana bahari ya hindi hawa Samaki?
Sahihisho si samaki bali ni mojawapo ya wanyama wa baharini kama Pomboo(dolphins) nyangumi(whales) na huyu nguva aghlabu huishi maeneo pale maji ya bahari yankutana na maji chumvi mfano outlet za mito mikubwa kama Rufuji tofauti na wanyama wenzake akina pomboo,kasa na nyagumi!
 

Kumuona jini ni bahati?????
 
Sijaelewa hapo
 
Aisee huyu samaki yupo tena na mwaka jana alivumbuliwa mwingine anaitwa MWANAASHA. aligunduliwa kwenye bwawa huko msoga
 
Alishavuliwa mmoja Mafia miaka michache iliyopita. Lakini hana umbo la mtu.
Ni baadhi ya watu waongo ambao wametia chumvi mno kiasi kwamba picha imepotea.
 
Huyo samakinguva yupo kweli na mimi nishawah kumvua mwaka 93 huko Kilwa
Kivinje, nilistuka sana nilipomuona lkn nikajipa ujasir wa kumchukua wavuv wenzangu wakaniambia huyo ni nguva na wakataka kufanya nae mapenz ila sikuwaruhusu wafanye huo upuuz wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…