Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kweye hizi picha hatuoni K ilhali wapo uchi???
Sio picha ni yeye halisi amekaushwa na kuhifadhiwa, huyo mermaid ni hadithi za kusadikika
.............na siri kubwa ya hawa samaki ni hapo "K"............., ina fanana sana na ya binaadamu na wana maziwa kama binaadamu ! ....ila ni samaki na jumba la makumbusho hapo Dar yupo.
Tatizo kubwa huwa wavuvi hawaaminiwi wanapokuwa wamemvua, kwani ziko hadithi za "kumchakachua" !:A S 11::mwaaah:
Hivyo kiumbe kikichakachuliwa ni haramu kukila/kumla !
Kama zile hadithi kama sikosei za ESSOPO ambaye alisafiri na kufika katika nchi ya vimtu vidogo kama sisismizi.
Lakini pia katika safari zake alifika katika nchi ambapo alikutana na mijitu mikubwa ambayo ilikuwa inamuona kama sisismizi yaani hata Panya wao walikuwa wakubwa kama simba............LOL
watu wasije sema nchi hizo zipo jamani, ni hadithi za kufikirika kama ilivyo hadithi ya Nguva....................
Sahihisho si samaki bali ni mojawapo ya wanyama wa baharini kama Pomboo(dolphins) nyangumi(whales) na huyu nguva aghlabu huishi maeneo pale maji ya bahari yankutana na maji chumvi mfano outlet za mito mikubwa kama Rufuji tofauti na wanyama wenzake akina pomboo,kasa na nyagumi!Huwa wanapatikana bahari ya hindi hawa Samaki?
Kavukavu au na kondom? Huyo nguva atakuwa ameenda Angaza kweli?
yupo....nilishawahi kumuona kwa macho yangu.....
samaki huyu yupo, lakini ni moja ya viumbe vya ajabu, na pili kumuona ni bahati na kama PRETA unavodai umemuona basi ujue nawe unabahati, na huyu samaki ni ktk aina za 'majjinni' sio binadamu wala sio samaki ni shape tu, na mnaosema hayupo basi tuambia neno nguva ni kitu gani?
Sijaelewa hapoSahihisho si samaki bali ni mojawapo ya wanyama wa baharini kama Pomboo(dolphins) nyangumi(whales) na huyu nguva aghlabu huishi maeneo pale maji ya bahari yankutana na maji chumvi mfano outlet za mito mikubwa kama Rufuji tofauti na wanyama wenzake akina pomboo,kasa na nyagumi!
maji ya mto yanapokutana na maji ya bahari.samahani kwa usumbufu!Sijaelewa hapo