Ni upi ukweli kuhusu Nguva (Samaki mtu)?

Ni upi ukweli kuhusu Nguva (Samaki mtu)?

he he; nikitaka kumuoa inakuwaje? Napata supu ya samaki na mke.
 
dada preta umewahi kumuona wapi???????????/ hapa huwatunataka evidence, ni mrembo kama wewe??,alikuwa wa kizungu au kibongo???? inijibu
 
Hivi majuzi huko Kiryat Ya,Israel baada ya watalii waliokuwa pembezeno mwa bahari hiyo kumuona

nguva(SAMAKIMTU) akiwa juu ya mawe. Kutokana na habari hizi kuenea watalii wengi wamekuwa

wakimiminika huko Israel wakiamini labda nawao watamuo.



attachment.php








 

Attachments

  • NGUVA.jpg
    NGUVA.jpg
    10.9 KB · Views: 7,214
Last edited by a moderator:
Hivi majuzi huko Kiryat Ya,Israel baada ya watalii waliokuwa pembezeno mwa bahari hiyo kumuona

nguva(SAMAKIMTU) akiwa juu ya mawe. Kutokana na habari hizi kuenea watalii wengi wamekuwa

wakimiminika huko Israel wakiamini labda nawao watamuo.



attachment.php










Aisee duh
 
Last edited by a moderator:
Wanajamii changieni mnayoyajua kuhusu ukwel wa uwepo wa hawa viumbe (nguva- nusu binadam nusu samaki).. Na ifuatayo ni research ndogo nliyoifanya kuhusu hawa viumbe.


The National Oceanic and Atmospheric
Administration (NOAA) reportedly confirmed
that mermaids exist and that they are growing in
numbers.
The National Oceanic and Atmospheric
Administration reportedly published a post on
their “Ocean Facts” newsfeed titled “Conclusive
Evidence of the Existence of Aquatic
Humanoids.”
The agency went on to say that “magic females”,
who first appeared in cave paintings in the late
Paleolithic (Stone Age) period some 30,000 years
ago, when modern humans began to sail the seas,
do exist and are living in all the oceans of the
world.
Animal Planet television recently aired a special
called “Mermaids: The Body Found,” that also
proved the existence of mermaids.
National Ocean Service spokeswoman Sandy
Nixon told WWN that “at least 65 mermaid
researchers and experts gathered on the island of
Tahiti to examine all the known evidence and
have concluded, emphatically, that half human
half-fish hybrids are living peacefully among us.
Mermaid experts say that the majority of
mermaids are in the warmer waters of the
Caribbean and the Mediterranean, but that many
have been spotted in the Pacific Ocean and
Southern Atlantic. ”There is a large school of
mermaids, swimming just outside Ocean City
Maryland,” said mermaidologist, Marcus
Plumkin, of the University of Florida.
WWN has also learned that recently the U.S.
government has captured 7 mermaids and that
they are being kept at an undisclosed aquarium,
where they are being studied. President Obama
has personally met the mermaids and was quite
impressed – according to reports.
 
bibi angu aliwahi kunisimulia uwepo wa viumbe hao nilipokua mdogo ila sina uhakika kama ni hadith tu o ni kweli.
 
Ni katika kuweka maandishi vizuri

Samaki mtu.jpg


The National Oceanic and Atmospheric Administration (NOAA) reportedly confirmed
that mermaids exist and that they are growing in numbers.
The National Oceanic and Atmospheric Administration reportedly published a post on
their "Ocean Facts" newsfeed titled "Conclusive Evidence of the Existence of Aquatic
Humanoids."

The agency went on to say that "magic females", who first appeared in cave paintings in the late
Paleolithic (Stone Age) period some 30,000 years ago, when modern humans began to sail the seas, do exist and are living in all the oceans of the world. Animal Planet television recently aired a special called "Mermaids: The Body Found," that also proved the existence of mermaids.

National Ocean Service spokeswoman Sandy Nixon told WWN that "at least 65 mermaid researchers and experts gathered on the island of Tahiti to examine all the known evidence and
have concluded, emphatically, that half human half-fish hybrids are living peacefully among us.
Mermaid experts say that the majority of mermaids are in the warmer waters of the Caribbean and the Mediterranean, but that many have been spotted in the Pacific Ocean and Southern Atlantic. "There is a large school of mermaids, swimming just outside Ocean City Maryland," said mermaidologist, Marcus Plumkin, of the University of Florida.

WWN has also learned that recently the U.S. government has captured 7 mermaids and that
they are being kept at an undisclosed aquarium, where they are being studied. President Obama
has personally met the mermaids and was quite impressed – according to reports.
 
tatizo huku kwetu uchawi ni mwingi tunaamini uchawi kuliko science...hilo lipo na kama halipo linakuja
 
Aisee! Kuna masimulizi mengi sana kuhusu nguva.
 
katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na mambo ya samaki mtu lakini mpaka sasa hainingii akilini kama viumbe hawa wapo???
Wataalamu nijuzeni kwani na mpango wa kuchukua mmoja!
 
Kuna mmoja wa kike ninamfahamu.

Mpigie kwenye namba hii +255 713 800 800.
 
akikuoa akikojoa kimoja tu uutanukia kisamakisamaki mwezi mzima, inabidi akaogelee kwenye bwawa la pafyum
 
Hawa samaki wapo!!! Hakuna cha majini wala nduguze majini.Wanaishi kama binadamu kwenye maji na wanapatikana kwenye maji ya baridi namaanisha huko Ulaya ni wengi.

Kama mnataka kwenda kuvua twendeni
 
Back
Top Bottom