Wakuu
Inaaminika na kuheshimika katika jamii yetu hii kwamba walio na mamlaka ya kuchinja ngombe na mbuzi ni waislamu pekee ambapo hali imekuwa hivyo na tunaishi kwa amani
Lakini pia waislamu hawaruhusiwi kula kitoweo kilichochinjwa na mtu ambaye si muislamu, wakristo wanaheshimu na imekuwa kawaida kuwakaribisha wailsamu wachinje kwaajili yao na kujumuika pamoja... Hii ndiyo tanzania ya mama.
Kulingana na maendeleo ya kiteknolojia, sehemu nyingi hapa nchini kumejengwa machinjio za kisasa zinachinja ngombe, mbuzi, kuku na hata nguruwe......
Je, waislamu wanashiriki vipi kuchinja?
Nawaona tunabanana wote mabuchani, je hawaoni kama wanakula vibudu?