Ni upi ushiriki wa waislamu kuchinja katika machinjio za kisasa?

Dua ya Nini kwenye machinjio ya serikali na serikali Haina dini?
We bisha, serikali ina miliki dola lenye raia waislamu inabidi iwatekelezee matakua yao.....usijindaganye hamna raia wanao zingatiwa kama waislamu kila nchi, hata London city kuna imama incharge of butcher, sembuse ki-nchi kama cha kwetu tena waislamu ndo wengi 60% wasizingatiwe? We unajua nguvu za waislamu likija suala la Iman yao unaweza kutania lingine ila sio Imani ya kiislamu hata akiwa muislamu mlevi ataingia vitani pombe itaisha siku hiyo
 
Hili swali la muhimu sana, Teknolojia imeizidi Dini sasa ndio maana imetake over

Nafikir cha muhimu ni kusema BISMILLAH kabla ya kula na ALHAMDULLILAH baada ya kula na kushiba

Wabillah Tawfiq
 
We jamaa ndio wanachinja kisasa kabisa na mimi ni shahidi wa hilo ila maostaadhi wapo mkuu ondoa shaka wanachinja kihalal kabisa na wanapewa finyango mbili tatu na buku tano kwa kwa ng'ombe
 
Hiyo sensa ya waislam asilimia 60 mmeitoa wapi?
 
Kumekucha
 
Acha kuwapa kichwa hali hawana mamlaka hayo isipokuwa majumbani mwao pekee.
Suala la kuchinja ni la mwenye mfugo mwenyewe pekee. Kwa upande wa mabuchani kila mtu achague nyama iliyonona tu bila kujiuliza nani kachinja vinginevyo atakuwa brainwashed.
 
Hiyo sensa ya waislam asilimia 60 mmeitoa wapi?
Hawawezi kuikubali sensa ya dini, kuna dini zitadhalilika zaidi, dini yao inabunpua kila siku, ila ndo wanajiona ni wengi kwasbb ya kupenda kudominant wengine.
 
Hilo dua linasaidia nini? Nyama inajipika na kujiweka vyumvi?
Ni suala la kiimani mkuu nikuamini, kama sie wakulistu tunavo amini damu ya Yesu aliwosha dhambi zetu, kwani alikua na damu lita ngapi? kuonsha dunia nzima,......ni iman tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…