Ni upi ushiriki wa waislamu kuchinja katika machinjio za kisasa?

Mimi sifanyi biashara ya bucha, hiyo kaifanye wewe. Lakini sir uhuru kiroboto yeyeote mwenye barakashia kunishauri namna ya kuchinja kitoweo changu. Ni utumwa wa imani za kuipuuzi.
Kuna dini zenyewe vile zilivyo tu ni ukoloni tosha kabisa. Wao hata uwe muuaji, mfi$aji, mchawi, malaya, ili mradi tu uwe Mwarabu au uitwe Abdallah eti ndiye ukichinja hiyo nyama ndiyo itakuwa halali, ila hata uwe mwema vipi, msafi vipi, na mtaalam vipi ukichinja hiyo nyama kama hauitwi Hamidu ni haram, hata kama ni yako umeamua kusaidia watu wapate lishe ukichinja tu eakaiti hauitwi Abdallah ni haram.
 
Kule machinjio ya kisasa ng'ombe wanapitishwa sehemu ambayo hunaswa na kuning'inizwa kisha kupitia kwenye KISU KIKUBWA KILICHOANDIKWA " BISMILLAH" ETI HUTO NDIYE MUISLAMU ANACHINJA. Sina hakika kama jambo hilo lipo kwenye Quran yao kwamba maandishi hayo ni muwakilishi wa mchnjaji.
 
Walio na mamlaka ya kuchinja?Nani,wapi na lini walipewa mamlaka?
 
Suala sio kuchinjwa kitaalamu kinacho hitajika ni dua kwa jina la Allah kabla hujawasha mashine kuchinja, pia hakikisha machine inao chinja inaelekea kibla, hizo machini zipo hata nchi nyingi........
ni machinjio gan hapa dar inachinja kwa kutumia machine?
 
Kwanza aliesema wachinje wao,ni nani? Ile nyama wanachinja wao?
 
Ingekua hio idadi ni ya ukweli msingelalamika sensa kujumuisha maswali ya dini eti 60% daah
 
Kwenye hilo, matakwa ya wasio waislamu itakuwaje?
 
Hata kula Nguruwe unapokuwa huna namna sio Dhambi Sheikh

Hasa ukiwa Dhoof Bin hal
DHambi haina option mkuu na ndo tunatenda zaidi. Ila najisi inaoption

Leo hii huwezi sikia mtu akisimama na kupiga kelele watu waache kuzini au kusema tu uongo ila vitu visivyo na madhara mbele ya mlango wa pepo sasaaaaaaaa.

Binadamu tumejaa unafiki
Yan
1. Kuzini Vs kula kitimoto
Wanafiki sasa. Kitimoto mbaya

2. Kuiba Vs kula alochinjwa na mtu asiyefahamika.
Kibudo ni kosa.


Tunapaswa kujitafakari kwa iman zetu tuone na tuingie mlango wa pepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…