Ni ushauri gani mzuri wa kumpatia kijana anaetamani kuoa

Ni ushauri gani mzuri wa kumpatia kijana anaetamani kuoa

Jitahidi huyo anayetaka kumuoa aingie kwenye mfumo wako ,ukiingia kwenye mfumo wake .Kwisha.
Majukumu yako kama baba mjengo yatakuwa ni to lead,provide,protect and love.Utayaweza?
 
Enyi mlio amini! Hakika miongoni mwa wake zenu na watoto wenu wamo maadui zenu.- 64 : 14 Quran.
 
Usitumie pesa kama nyenzo ya kukufanya uoe kumbuka pesa zinaisha.
Ukipata mnaependa kwa dhati huyo ndio wa kuoa. Unaweza kuniuliza utajuaje huyu anaupendo wa kweli ni rahisi sana utaona dalili tu.
Sema wengi tu huwa tunaona dalili mbaya kwa sababu ya mapenzi na uzuri wa mtu tunaamua kufosi ni hatari.
Hakuna kitu kibaya sana uwe na mwanamke mmesha zaa watoto mnandoa halafu aanze kujudharau hakuna rangi utaacha kuona
 
Yeye aoe tu haya mambo ukisema uyape uzito mkubwa huenda hata usioe.
 
Back
Top Bottom