Na sisi tuna kikao na mke wangu tunakujadili wewe na GY
Najiuzulu rasmi kukuita digidigi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na sisi tuna kikao na mke wangu tunakujadili wewe na GY
The Following User Says Thank You to SOULMATE For This Useful Post:this is the reason i cant get enough of u hahah lol
Mwambie hizo THEORY ni za kwake mwenyewe kwetu they don't apply
Ha ha ha ha hivi uko Unlocated wapi?????Najiuzulu rasmi kukuita digidigi...
Khaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!! :twitch::twitch::twitch::twitch::twitch:naona unasahu haraka,uliyofanya room 108 kwenye pangaboi?? usinitafute wewe TF nitasema yote.....AD jipe moyo mkuu utayashinda ila hamotoki wote,kuna wakati hukutoroka huyo......:A S 20::A S 20:
Nataka nimsaidie Hashy bana matatizo yaishe can't leave my bro like that ila huyu Michelle anapenda kweli kutesa na kuwapa wenzake hardtime khaaaaa!!!!!!!!
Ha ha ha ha hivi uko Unlocated wapi?????
Where is hashy???naona unasahu haraka,uliyofanya room 108 kwenye pangaboi?? usinitafute wewe TF nitasema yote.....AD jipe moyo mkuu utayashinda ila hamotoki wote,kuna wakati hukutoroka huyo......:A S 20::A S 20:
Sio vizuri hata Mungu hapendiKila mtu ana staili yake ya kuonyesha upendo.....waga namtesa ili ajue hayuko peke yake anayeniona,asije jisahau.....nyota yangu si mchezo...
Umemuona Michelle anajifanya eti anajadili mustakabali wa hii THREAD kumbe yuko na GY
Etiiii wewe ni HEART BREAKER?????Kila mtu ana staili yake ya kuonyesha upendo.....waga namtesa ili ajue hayuko peke yake anayeniona,asije jisahau.....nyota yangu si mchezo...
Where is hashy???
Samehe saba mara sabini lol!!!!!
Na sisi tuna kikao na mke wangu tunakujadili wewe na GY
Umemuona Michelle anajifanya eti anajadili mustakabali wa hii THREAD kumbe yuko na GY
Etiiii wewe ni HEART BREAKER?????
Kuna tatizo...haondoki nacho....get a life....:twitch:
Sio vizuri hata Mungu hapendi