Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Maana yupo bado anaishi nyumbani kwa wazazi wake. Mwingine yupo tu amekomaa kuishi kwa shemeji yake mjini, wakati chuo kaishamaliza miaka kadhaa ilopita, hana kazi wala biashara, na kakomaa town kubanabana familia za watu.
Na mambo yalivyobadilika hususani utovu wa kimaadili kama vile ulawiti na ubakaji, kijana ainaikoseha amani hadi familia ya watu anapoishi..
Hana mtoto hata wa kusingiziwa tu, hana mchumba wa uhakika kwasababu mfukoni hali yake ni teeeh mbaya sana. Hana kaploti, hana hata kabodaboda, wala hata akiba ya senti moja banki..
Kiufupi graduate huyu hana uelekeo wala mipango ya kumove on kutoka aliko sasa, umri unasonga, nguvu zinapungua, hajaanza kujitegemea, halafu maisha na muda unayoyoma kweli kweli..
Ukimtazama na kumpima vizuri huyu graduate, amewahi au amechelewa maisha?
Kitaalamu,
Kijana huyu graduate anawezaje kutoka kwenye huo mkwamo, kwenye umri uliosalia?
Maana mtaani shikamoo zimemzidi na hataki hata kuziskia? Mvi na kipara vimemzonga, na super black karibia zitadinda kufanya nywele zake kua nyeusi 🐒
Mungu Ibariki Tanzania