Ni ushauri upi muafaka kwa kijana huyu graduate wa umri wa miaka 40 mtaani?

Ni ushauri upi muafaka kwa kijana huyu graduate wa umri wa miaka 40 mtaani?

Amelala usingizi wa pono, anahitaji kuamshwa mapema sana kabla haijawa too late. At 40 anatakiwa ameshatimiza ndoto nyingi, asahihishe makosa yake tu. Ila yeye kalala kwa baba na mama.
Vijana wa at 35 achilia mbali 40 hawana ajira na sababu ni
1. kusikiliza wazazi, ndugu na jamaa.
2. Kusubiri kuajiriwa na ndugu na jamaa wanao kujua.
3. Kujikatia tamaa.
Japo wapo wa 30 washajipata.
 
Kwa jinsi ulivyomuelezea huyo mtu,ni kama vile anaishi Kaburini ambapo hakuna fursa yeyote ile,

Kwenye maisha ukisinzia hakuna wakuja kukuamsha,kila mtu ana maisha yake,kila mtu ana hustle kivyake vyake,

Alikuja Duniani peke yake na akaikuta Dunia,ataondoka peke yake na ataiacha Dunia kama alivyoikuta,

When the going gets tough,put one foot in front of the other and just keep going,dont give up,
Success is the sum of small efforts,repeated day in and day out.
Mnaishi UK naona mnatufokea ma jobless wenye mastazi zetu 😆😆😆 na hatuna pesa.
 
Mnaishi UK naona mnatufokea ma jobless wenye mastazi zetu 😆😆😆 na hatuna pesa.
Tena huyo jamaa ana bahati yupo Bongo ndio maana bado analelewa,angekua mbele kwa tabia hiyo,angekua na maisha magumu sana coz mbele kila mtu anaangalia mishe zake,hakuna mtu wa kubeba mzigo wa mwenzake.
 
Watu wanafikiri mbele ni kamserereko🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ushauri ni ajali afya yake asifanye
Vitu vinavyoweza athiri afya yake icho ndo cha muhimu
Kwenye maisha akunaga kuwai wala kuchelewa ili hali kasoma bas one day mambo yanaweza badilika so ajari afya yake yakibadirika yamkute na afya nzuri

Afya yake muhimu
Dream will never come true by just dreaming,
Maisha yake yatabadilikaje wakati hataki kujishughulisha? ni lazima afanye jambo ili apige hatua na aondokane na hiyo hali aliyo nayo,

Life is not a matter of chance but a matter of choice.
 
Kwenye kutoboa hua hakuna umri sema shida inakuja Kwa vijana kuamini mafanikio huja tu ...Jamani mafanikio ya kweli acha haya ya kiganga hua ni msako mkali sana yaan kuna kipindi mtu unapambana inafika jioni unaona bora usiku isingekuwepo.Unafika home mawazo lundo usingizi hauji unawaza dili lile litiki ama nimalize kazi ya watu fasta.Wakati mwingine wife anakusemesha unaona km anakupigia kelele.Kijana jichanganye na watu piga kazi hata za fundi saidia huko huko unaweza kutana na maboss wakijua elim yako wanakuvusha ...Sasa ww kaa sebureni na limoti ukisubiri kutoboa 🤣🤣🤣utatoboka.
 
Maana yupo bado anaishi nyumbani kwa wazazi wake. Mwingine yupo tu amekomaa kuishi kwa shemeji yake mjini, wakati chuo kaishamaliza miaka kadhaa ilopita, hana kazi wala biashara, na kakomaa town kubanabana familia za watu.

Na mambo yalivyobadilika hususani utovu wa kimaadili kama vile ulawiti na ubakaji, kijana ainaikoseha amani hadi familia ya watu anapoishi..

Hana mtoto hata wa kusingiziwa tu, hana mchumba wa uhakika kwasababu mfukoni hali yake ni teeeh mbaya sana. Hana kaploti, hana hata kabodaboda, wala hata akiba ya senti moja banki..

Kiufupi graduate huyu hana uelekeo wala mipango ya kumove on kutoka aliko sasa, umri unasonga, nguvu zinapungua, hajaanza kujitegemea, halafu maisha na muda unayoyoma kweli kweli..

Ukimtazama na kumpima vizuri huyu graduate, amewahi au amechelewa maisha?

Kitaalamu,
Kijana huyu graduate anawezaje kutoka kwenye huo mkwamo, kwenye umri uliosalia?

Maana mtaani shikamoo zimemzidi na hataki hata kuziskia? Mvi na kipara vimemzonga, na super black karibia zitadinda kufanya nywele zake kua nyeusi 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Aendelee kuichagua ccm iendelee kutawa au aingie kitaa akasajili laini za simu, fursa nyingine atakutana nazo hukohuko.
 
Maana yupo bado anaishi nyumbani kwa wazazi wake. Mwingine yupo tu amekomaa kuishi kwa shemeji yake mjini, wakati chuo kaishamaliza miaka kadhaa ilopita, hana kazi wala biashara, na kakomaa town kubanabana familia za watu.

Na mambo yalivyobadilika hususani utovu wa kimaadili kama vile ulawiti na ubakaji, kijana ainaikoseha amani hadi familia ya watu anapoishi..

Hana mtoto hata wa kusingiziwa tu, hana mchumba wa uhakika kwasababu mfukoni hali yake ni teeeh mbaya sana. Hana kaploti, hana hata kabodaboda, wala hata akiba ya senti moja banki..

Kiufupi graduate huyu hana uelekeo wala mipango ya kumove on kutoka aliko sasa, umri unasonga, nguvu zinapungua, hajaanza kujitegemea, halafu maisha na muda unayoyoma kweli kweli..

Ukimtazama na kumpima vizuri huyu graduate, amewahi au amechelewa maisha?

Kitaalamu,
Kijana huyu graduate anawezaje kutoka kwenye huo mkwamo, kwenye umri uliosalia?

Maana mtaani shikamoo zimemzidi na hataki hata kuziskia? Mvi na kipara vimemzonga, na super black karibia zitadinda kufanya nywele zake kua nyeusi 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Watu wanatetea CCM kumbe huku inawaumiza sijui CCM wanatumia uchawi gani kuwapumbaza watu!
 
Elimu ya juu inaleta ego ya uongo.

Kijana huyu angeishia kidato cha nne. Leo hii angekuwa anajitegemea mwenyewe kwa kazi ama biashara ndogo ndogo
Yaah kabisa mkuu, kuna wanaoitumia hiyohiyo ego kutusua na kufanya makubwa, ego kichwani mwa mpumbavu ni hasara.
 
Waulize ccm
nadhan mambo ya siasa mtuachie sisi tu, tulofanya maamuzi magumu, tukathubutu kwenda kugombea ubunge, huku mfukoni tukiwa na laki5 pekee. Tuliitwa vichaa na sasa mambo ndiyo hivyo tena kwa Neema na Baraka za Mungu..

ntafanyaje sasa 🤣
 
Huyo sasa ana shida ya ufahamu wake kufungwa. Huwezi ukawa na umri huo na huna shughuli ya kufanya. Anahitaji msaada wa kisaikolojia au wa kiroho.
Pia wanaoishi nae wamfukuze, akili itakuja tu.
sure,
hilo la kumfukuza ni muhimu zaidi but pankuanzia kumfukuza sasa huenda ni changamoto..

naona life forces zimechelewa kumzonga sijui 🐒
 
Hajachelewa ila amekata tamaa / ameishiwa shauku. Ukifika stage hii inakuwa ngumu kuchomoka unajiona ni kama umemaliza juhudi zote na umeshindwa unaamua kujituliza tu wakati kiukweli njia za kutoboa zinakuwa bado zipo

Hiyo ni vita ya Me, Myself and I. Aendelee kupambana tu.
sure,
hiyo spirit ya vita ya me, myself and I kwakua yupo kwa wazazi imeshindwa kumuingia nadhani ni sharti atoke kwao 🐒
 
Watu wanatetea CCM kumbe huku inawaumiza sijui CCM wanatumia uchawi gani kuwapumbaza watu!
mambo ya siasa tuachieni sisi tulomaliza paper ya mwisho chuo kikuu, huku mfukoni kuna laki5 tu, tukaenda kugombea ubunge, kuna watu walituona vichaa na tumechanganyikiwa,

hivi sasa kwa Neema na Baraka za Mungu tunawapumulia vichogoni kisiasa na tupo sambamba sahani moja 🤣

haya mambo ni kujipanga, kuamua na kuthubutu tu na si vinginevyo gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom