Ni ushauri upi muafaka kwa kijana huyu graduate wa umri wa miaka 40 mtaani?

Ni ushauri upi muafaka kwa kijana huyu graduate wa umri wa miaka 40 mtaani?

nadhan mambo ya siasa mtuachie sisi tu, tulofanya maamuzi magumu, tukathubutu kwenda kugombea ubunge, huku mfukoni tukiwa na laki5 pekee. Tuliitwa vichaa na sasa mambo ndiyo hivyo tena kwa Neema na Baraka za Mungu..

ntafanyaje sasa
Sawa ndugu mbunge naelewa hali uliyopitia kwa uzoefu kabisa
 
Sawa ndugu mbunge naelewa hali uliyopitia kwa uzoefu kabisa
na sikumalizia ile true story sehemu ya uchawi na ushirikiana inachekesha sana aise dah, wajinga wanaliwa sana na hawa jamaa wachawi 🐒
 
Huyu Ni mtu mzima sio kijana tena.Ujana mwisho miaka 32.

Huyo jamaa anaonekana Ni mvivu kupitiliza
 
na sikumalizia ile true story sehemu ya uchawi na ushirikiana inachekesha sana aise dah, wajinga wanaliwa sana na hawa jamaa wachawi 🐒
Malizia tu mkuu😁😁😁 ila kwa miaka yangu hii 40 , sijui kama nitakuelewa😅
 
hapa hamna mambo ya kuibiwa wala kuiba gentleman,

hapa tunaamshana kimawazo tu,
yawezekana ni mshikaji wako au classmates, hebu muamshe ajitafute bana muda unayoyoma kweli kweli aise 🐒
Askwambie mtu kugaalagala kene masofa ya shemeji ukisubiri Chai Raha Sana hasa masofa yakiwa ya he'la za wizi.
Raha Sana askuambie mutu.
 
Askwambie mtu kugaalagala kene masofa ya shemeji ukisubiri Chai Raha Sana hasa masofa yakiwa ya he'la za wizi.
Raha Sana askuambie mutu.
we galagala tu,
mambo yamebadilika siku hizi kwa wa kiume na kwa wa kike, kua makini bana usijisahau sana 🐒
 
we galagala tu,
mambo yamebadilika siku hizi kwa wa kiume na kwa wa kike, kua makini bana usijisahau sana 🐒
Nimeondoka nyumbani nikiwa na 17 yrs Sasa miaka 10 Hadi nahisi kuwa mgeni kwenye nyumba ile.
Lakiji hiihaiondoi Raha ya kujimwaga kwa Sofa za shemeji.
Acha wajimwage wakishtuka kuwa wanamwagika 50 hii hapa.
 
Maana yupo bado anaishi nyumbani kwa wazazi wake. Mwingine yupo tu amekomaa kuishi kwa shemeji yake mjini, wakati chuo kaishamaliza miaka kadhaa ilopita, hana kazi wala biashara, na kakomaa town kubanabana familia za watu.

Na mambo yalivyobadilika hususani utovu wa kimaadili kama vile ulawiti na ubakaji, kijana ainaikoseha amani hadi familia ya watu anapoishi..

Hana mtoto hata wa kusingiziwa tu, hana mchumba wa uhakika kwasababu mfukoni hali yake ni teeeh mbaya sana. Hana kaploti, hana hata kabodaboda, wala hata akiba ya senti moja banki..

Kiufupi graduate huyu hana uelekeo wala mipango ya kumove on kutoka aliko sasa, umri unasonga, nguvu zinapungua, hajaanza kujitegemea, halafu maisha na muda unayoyoma kweli kweli..

Ukimtazama na kumpima vizuri huyu graduate, amewahi au amechelewa maisha?

Kitaalamu,
Kijana huyu graduate anawezaje kutoka kwenye huo mkwamo, kwenye umri uliosalia?

Maana mtaani shikamoo zimemzidi na hataki hata kuziskia? Mvi na kipara vimemzonga, na super black karibia zitadinda kufanya nywele zake kua nyeusi 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Ajaribu kuanzisha kanisa au kituo cha maombi haraka
 
Back
Top Bottom