Ni ushauri upi muafaka kwa kijana huyu graduate wa umri wa miaka 40 mtaani?

nadhan mambo ya siasa mtuachie sisi tu, tulofanya maamuzi magumu, tukathubutu kwenda kugombea ubunge, huku mfukoni tukiwa na laki5 pekee. Tuliitwa vichaa na sasa mambo ndiyo hivyo tena kwa Neema na Baraka za Mungu..

ntafanyaje sasa
Sawa ndugu mbunge naelewa hali uliyopitia kwa uzoefu kabisa
 
Sawa ndugu mbunge naelewa hali uliyopitia kwa uzoefu kabisa
na sikumalizia ile true story sehemu ya uchawi na ushirikiana inachekesha sana aise dah, wajinga wanaliwa sana na hawa jamaa wachawi πŸ’
 
Huyu Ni mtu mzima sio kijana tena.Ujana mwisho miaka 32.

Huyo jamaa anaonekana Ni mvivu kupitiliza
 
na sikumalizia ile true story sehemu ya uchawi na ushirikiana inachekesha sana aise dah, wajinga wanaliwa sana na hawa jamaa wachawi πŸ’
Malizia tu mkuu😁😁😁 ila kwa miaka yangu hii 40 , sijui kama nitakuelewaπŸ˜…
 
hapa hamna mambo ya kuibiwa wala kuiba gentleman,

hapa tunaamshana kimawazo tu,
yawezekana ni mshikaji wako au classmates, hebu muamshe ajitafute bana muda unayoyoma kweli kweli aise πŸ’
Askwambie mtu kugaalagala kene masofa ya shemeji ukisubiri Chai Raha Sana hasa masofa yakiwa ya he'la za wizi.
Raha Sana askuambie mutu.
 
Askwambie mtu kugaalagala kene masofa ya shemeji ukisubiri Chai Raha Sana hasa masofa yakiwa ya he'la za wizi.
Raha Sana askuambie mutu.
we galagala tu,
mambo yamebadilika siku hizi kwa wa kiume na kwa wa kike, kua makini bana usijisahau sana πŸ’
 
we galagala tu,
mambo yamebadilika siku hizi kwa wa kiume na kwa wa kike, kua makini bana usijisahau sana πŸ’
Nimeondoka nyumbani nikiwa na 17 yrs Sasa miaka 10 Hadi nahisi kuwa mgeni kwenye nyumba ile.
Lakiji hiihaiondoi Raha ya kujimwaga kwa Sofa za shemeji.
Acha wajimwage wakishtuka kuwa wanamwagika 50 hii hapa.
 
Ajaribu kuanzisha kanisa au kituo cha maombi haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…