Pythagoras
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,026
- 5,299
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Enzi nipo chuo kuna binti nilikuwa napiga mambo yetu sasa nikakosana nae usiku akanitumia meseji "kwanza nimeisha kuua kwa ukimwi" sikulala usiku kucha saa 11 nipo vct nacheki afya.
Kukopera kwa jina jingine ni inaitwa chuma ulete.. Yan kwa mfano unanmpa mtu buku anakurudishia jero , ukiliweka mfukoni ni dakika chache tu unajikuta huna hata kitu.. Ni design ya utapeli wa kimazingaombweCjaelewa kukopera ni nini please
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakumbuka usiku wa kuamkia kuanza form one ulikuwa na mawenge sana kwangu, nilivaa uniform saa nane usiku na kunywa chai kabisa kisa excitement ya kuanza shule. maza anashtuka ananikuta napiga silesi ya mkate nimechomekea uniform usiku mkali, aliishia kucheka tu.
aaa ha hahahahahahaEnzi nipo chuo kuna binti nilikuwa napiga mambo yetu sasa nikakosana nae usiku akanitumia meseji "kwanza nimeisha kuua kwa ukimwi" sikulala usiku kucha saa 11 nipo vct nacheki afya.
duh nimecheka sana halafu badae ukawa mtoro mzuri tunakumbuka usiku wa kuamkia kuanza form one ulikuwa na mawenge sana kwangu, nilivaa uniform saa nane usiku na kunywa chai kabisa kisa excitement ya kuanza shule. maza anashtuka ananikuta napiga silesi ya mkate nimechomekea uniform usiku mkali, aliishia kucheka tu.
ameshakwambia dili.. maana yake vya kunyongamkuu 2001 tikiti kwa buku?
teh teh, eti akawa mtoro.duh nimecheka sana halafu badae ukawa mtoro mzuri tu
mdiyo makeke tu ya kipya kinyemiTeh
teh teh, eti akawa mtoro.
hahahahahahahaha you made my dayNakumbuka mwaka 2001, nikiwa Morogoro, nilipata dili la matikiti Dar. Kuna mteja alihitaji matikiti 500, kila moja buku. Sasa mie nikayasaka nikapata kwa mia nne na muuzaji alikuwa na tikiti ka 800. Sasa issue ilikuwa nina Tsh 60,000 mfukoni. Nikaamua kwenda kwa rafiki yangu Nsindi. Huyu jamaa alikuwa na bucha na yeye ni mwenyeji wa Gamasala Tarime.
Sasa jamaa ni mkorofi haswa na wengi walimwogopa ila mie tulielewana japo kwa manati. Nikamuomba aniazime laki nne na nusu na nitamrudishia asubuhi. Jamaa nikamuelezea dili lenyewe na kumsihi sana aniazime. Akakubali ila kwa sharti kesho 12 asubuhi ataifuata ili akanunue ng'ombe machinjioni. Nilitoka hapo nduki na baiskeli kuelekea kwa mkulima wa matikiti.
Tobaaa, nilipofika, mkulima akaniambia kayauza yote kwa 450, nilimaindi ila nikaamua kurudisha pesa ya Mkurya. Heee, ile kujikagua nikakuta mfukoni kuna coin ya shilingi 20 tu! Nilivurugika. Nilizitafuta hizo jela mpaka kwenye Ndala nilizovaa.
Sasa Usiku huo, sikulala kabisa, nikawazaaa namwambiaje jamaa. Nilistuka saa 11 alfajili nagongewa mlango na sauti ya mkurya.
Je, wewe ni tukio gani lilikufanya usilale?
hata bei aliyokua ananunulia shamba(tsh 400) bado kubwa kwa kipindi hichoameshakwambia dili.. maana yake vya kunyonga
2001 nilikuwa bado darasa la ......hata bei aliyokua ananunulia shamba(tsh 400) bado kubwa kwa kipindi hicho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sio mchezo.nakumbuka usiku wa kuamkia kuanza form one ulikuwa na mawenge sana kwangu, nilivaa uniform saa nane usiku na kunywa chai kabisa kisa excitement ya kuanza shule. maza anashtuka ananikuta napiga silesi ya mkate nimechomekea uniform usiku mkali, aliishia kucheka tu.
la pili C2001 nilikuwa bado darasa la ......
Pili B,Kwa Mwalimu Zena2001 nilikuwa bado darasa la ......
acha ujinga weweMimi usiku wa kuamkia uchaguzi mkuu 2015... Nilikua na wasiwasi... Wauni wanaweza kumpa kura Lowasa.. Niliwaza sana