Ni usiku gani uliisha mapema kwako? Wangu huu hapa

Ni usiku gani uliisha mapema kwako? Wangu huu hapa

Siku ya kuamkia NECTA ya formIV Niliamka saa8 usiku kupitia notice za NATIONALISM swali nikakuta la COLONIALISM dah ilibidi nihesabu mabati kwanza.
hhahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa umeniacha hoi kabisa mkuu kumbe ndo wewe siku ile ya paper la history ukawa umedata unapiga makelele kumbe uliona kitu kingine kwenye paper
 
Mkuu hiyo hela nliiokota mimi ilikua 510000 kwenye mfuko flani hivi
 
Nakumbuka siku tuliyopiga baruti madarasa kama 3 shuleni kwa pamoja baada ya baruti za mwaka mpya kubakia. Sauti ikakisika mpaka Academy tukaamuriwa kesho yake tupigwe bakora mbele ya shule nzima na wanajeshi caz shule ilikuwa ipo jeshini, dah! aisee sikulala mie mwanaume nafikiria military exercise, but kumbe zilikuwa mbwembwe tu za walimu, tulikula stiki 5 na mwalimu aliyekuwa mstaafu wa jeshi.
 
Nilipokea msg kutoka kwa demu mwanafunzi kidato cha 3 mida kama saa mbili usiku ananiambia ana mimba yangu halafu sim yake haikuwa hewani tena, Mda ulele nikaenda kulala saa kumi asubuh nipo macho nikamtokea kwao nikazunga nje ya gate la home kwao hadi mida yake ya kwenda shule alipo toka mim huyo dah! Alicheka sanaa kumbe alikuwa akinitania! Nikarudi home kufikia usingizi wangu hadi mida hii bado sijaamka
 
Mi nilipiga dili nikahaidiwa ntalipwa Kwa M-Pesa kabla ya saa nane za mchana.Nilikuwa naangalia salio na kufungua inbox mpaka macho yakawa mekundu kama nimetoka kupikia kuni.Kufikia saa kumi ngoma bado,nikapata wenge kila nikisikia mlio wa sms iwe simu ya jirani au mtu aliyekaribu yangu mimi ndo nikawa naangalia kama sms imeingia ya hela.Hii siku ilikuwa kama mwaka ukichangia na shida ya fedha niliokuwa nayo.
 
nakumbuka usiku wa kuamkia kuanza form one ulikuwa na mawenge sana kwangu, nilivaa uniform saa nane usiku na kunywa chai kabisa kisa excitement ya kuanza shule. maza anashtuka ananikuta napiga silesi ya mkate nimechomekea uniform usiku mkali, aliishia kucheka tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12]
 
Mi nilipiga dili nikahaidiwa ntalipwa Kwa M-Pesa kabla ya saa nane za mchana.Nilikuwa naangalia salio na kufungua inbox mpaka macho yakawa mekundu kama nimetoka kupikia kuni.Kufikia saa kumi ngoma bado,nikapata wenge kila nikisikia mlio wa sms iwe simu ya jirani au mtu aliyekaribu yangu mimi ndo nikawa naangalia kama sms imeingia ya hela.Hii siku ilikuwa kama mwaka ukichangia na shida ya fedha niliokuwa nayo.
ha hahahahahaa
 
Kuna demu mzuri shombe shombe alikuja kwa Uncle wake jirani baada ya 3 day nikatupa ndoano akakubali next day nikala mzigo lodge hiyo siku mida usiku akanutumia msg..
She-Naomba msamaha kabla sijakuambia. Nilitaka kukuambia kuwa nimeadhirika na HIV tutumie condom lakin nilisahau kwa utamu uliokuwa unanipa Naomba msamaha
Duh!! Nilipatwa na Bp ya ghafla kijasho mpaka kwenye ikulu sikupata usingizi nilishutkia ni 6:46 Am nilivaa nguo chap nakuelekea VCT kupima njian niliona kama sifiki hatua mbili mbele kumi nyuma nikapima fresh majibu "Negative" after 3 month majibu tena "negative" basi nikaona mi ni mzima basi nikamfata nikamwambia nimekusamehe lakini nahamu na papuchi yako sana..
Hahahahhahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sasa mkuu ulienda kumkejeli au ulimaanisha?
 
Nakumbuka mwaka 2001, nikiwa Morogoro, nilipata dili la matikiti Dar. Kuna mteja alihitaji matikiti 500, kila moja buku. Sasa mie nikayasaka nikapata kwa mia nne na muuzaji alikuwa na tikiti ka 800. Sasa issue ilikuwa nina Tsh 60,000 mfukoni. Nikaamua kwenda kwa rafiki yangu Nsindi. Huyu jamaa alikuwa na bucha na yeye ni mwenyeji wa Gamasala Tarime.

Sasa jamaa ni mkorofi haswa na wengi walimwogopa ila mie tulielewana japo kwa manati. Nikamuomba aniazime laki nne na nusu na nitamrudishia asubuhi. Jamaa nikamuelezea dili lenyewe na kumsihi sana aniazime. Akakubali ila kwa sharti kesho 12 asubuhi ataifuata ili akanunue ng'ombe machinjioni. Nilitoka hapo nduki na baiskeli kuelekea kwa mkulima wa matikiti.

Tobaaa, nilipofika, mkulima akaniambia kayauza yote kwa 450, nilimaindi ila nikaamua kurudisha pesa ya Mkurya. Heee, ile kujikagua nikakuta mfukoni kuna coin ya shilingi 20 tu! Nilivurugika. Nilizitafuta hizo jela mpaka kwenye Ndala nilizovaa.

Sasa Usiku huo, sikulala kabisa, nikawazaaa namwambiaje jamaa. Nilistuka saa 11 alfajili nagongewa mlango na sauti ya mkurya.

Je, wewe ni tukio gani lilikufanya usilale?
Pole sana aisee...
Kumbe ndo wewe?
2016-09-09 13.02.00.jpg
 
Back
Top Bottom