Ni usiku gani uliisha mapema kwako? Wangu huu hapa

Kuna kipindi wife alikuwa kasafiri nikawa nimebaki nyumbani na watoto pamoja na house girl. Baada ya muda akaja shemeji yangu mdogo wake na wife. Kiukweli ni matata sana kwa uzuri. Wife ni mzuri ila kafunikwa mdogo wake kwa uzuri. Huyo shemeji yangu alikuwa ni mwanachuo na alikuwa akija mara zote afungapo chuo. Alikuwa amenizoea sana na utani mwingi sana mara aniite "mume wetu" kwa wife hilo halikuwa na shida kwani alijua kila mtu anaheshimu mipaka yake. Ilikuwa ni kawaida sana kunikumbatia hata mbele ya wife. Mimi wakati wote nilikuwa katika wakati mgumu sana maana nilikuwa namtamani sana na ule utani nilijua kuwa naye atakuwa ameshaelekea kibra .
Wakati akiwa safari akaja likizo akawa anaendeleza utani kama kawa mara mume wangu leo utakula nini mara mume wangu lini utanitoa out,,, visa vingi tu. Ikiwa imebaki siku moja wife arudi nikaazimia kutimiza azima yangu ya kulala naye. Usiku baada chakula akiwa anatazama tv nilienda kukaa pembeni yake. Baada ya housegirl kwenda kulala nilianza majonjo kama utani naye akawa anaitikia sawia. Nikajua nimepata kibali, si nikamgeuza kichwa nikataka nimpe denda akashituka akasogea mbali nikamfuata nikamhoji vip mke wangu akaniambia "Shem uwe na adabu" hakuwa serious kivile nikajua masihara nikapeleka mikono kwenye kifua chake akaipanch. Akatoka kwenye kochi nakwenda kusimama kwenye korido. Ukweli ni kwamba hata yeye hali yake ilionekana si nzuri nikajua ni mbwembe tu nikaenda alipo nikambana ukutani nikawa namlazimisha tubadilishane mate. Sijui alipata wapi nguvu mana alikuwa kishalainika, ghafla akanisukuma na kujinasua na kuniambia shem sitaki upuuzi nakuja kumuambia dada unachotaka kufanya.
Nilitoka nikaingia chumbani alfajiri nikaenda kazini bila hata kunywa chai. Jioni nikaenda kumpokea wife Ubungo, tulifika nyumbani usiku, sikutaka wife apate nafasi ya kuwa peke yake na mdogo wake asije akang'atwa sikio. Usiku ulikuwa mfupi sana mana sikutaka kupambazuke mana nilijua nikienda kazini shem atapata fursa ya kumtonya wife. Sikuwa na raha mpaka shem anaondoka ajabu yeye aliendelea na utani wake hata leo.
Mkuu mpotezee Kama unaipenda ndoa yako. Mwambie no utani, na ukae mbali nae as cku wife akistukia, u will regret pakubwa
 
Ukweli ni kwamba wife anajua huu utani maana huwa unafanyika hata mbele zake anachojua ni kwamba mtu Shemeji wanataniana pia wanajua mipaka yao. Tatizo ni pale mimi nilipozidiwa na tamaa na kutaka kuvuka mipaka ya ushemeji.
 
Sasa we endelea tu, jua hayo mambo huanza Kama utani, cku akikukuta umefungulia mbuzi kwenye shamba la mahindi, uje utusimulie mmiliki alimfanyaje huyo beberu...
 
Kuna kipindi wife alikuwa kasafiri nikawa nimebaki nyumbani na watoto pamoja na house girl. Baada ya muda akaja shemeji yangu mdogo wake na wife. Kiukweli ni matata sana kwa uzuri. Wife ni mzuri ila kafunikwa mdogo wake kwa uzuri. Huyo shemeji yangu alikuwa ni mwanachuo na alikuwa akija mara zote afungapo chuo. Alikuwa amenizoea sana na utani mwingi sana mara aniite "mume wetu" kwa wife hilo halikuwa na shida kwani alijua kila mtu anaheshimu mipaka yake. Ilikuwa ni kawaida sana kunikumbatia hata mbele ya wife. Mimi wakati wote nilikuwa katika wakati mgumu sana maana nilikuwa namtamani sana na ule utani nilijua kuwa naye atakuwa ameshaelekea kibra .
Wakati akiwa safari akaja likizo akawa anaendeleza utani kama kawa mara mume wangu leo utakula nini mara mume wangu lini utanitoa out,,, visa vingi tu. Ikiwa imebaki siku moja wife arudi nikaazimia kutimiza azima yangu ya kulala naye. Usiku baada chakula akiwa anatazama tv nilienda kukaa pembeni yake. Baada ya housegirl kwenda kulala nilianza majonjo kama utani naye akawa anaitikia sawia. Nikajua nimepata kibali, si nikamgeuza kichwa nikataka nimpe denda akashituka akasogea mbali nikamfuata nikamhoji vip mke wangu akaniambia "Shem uwe na adabu" hakuwa serious kivile nikajua masihara nikapeleka mikono kwenye kifua chake akaipanch. Akatoka kwenye kochi nakwenda kusimama kwenye korido. Ukweli ni kwamba hata yeye hali yake ilionekana si nzuri nikajua ni mbwembe tu nikaenda alipo nikambana ukutani nikawa namlazimisha tubadilishane mate. Sijui alipata wapi nguvu mana alikuwa kishalainika, ghafla akanisukuma na kujinasua na kuniambia shem sitaki upuuzi nakuja kumuambia dada unachotaka kufanya.
Nilitoka nikaingia chumbani alfajiri nikaenda kazini bila hata kunywa chai. Jioni nikaenda kumpokea wife Ubungo, tulifika nyumbani usiku, sikutaka wife apate nafasi ya kuwa peke yake na mdogo wake asije akang'atwa sikio. Usiku ulikuwa mfupi sana mana sikutaka kupambazuke mana nilijua nikienda kazini shem atapata fursa ya kumtonya wife. Sikuwa na raha mpaka shem anaondoka ajabu yeye aliendelea na utani wake hata leo.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji24] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Shem wako ana msimamo
 
Geto tuko na mwalimu alikula mtoto wa shule na baada ya wiki hivi binti akamwambia 'mwalimu sioni siku zangu' jamaa alikuwa anageukia kila upande kila baada ya dakikia 5 akiwaza na sisi tulilala kimang'amung'amu.
Hhahahahahahahahaha aisee ni hatari.
 
Nilitoka mbeya kuja kwa Shangazi keko kwa mara ya kwanza kuja dsm hiyo , duuu maisha ya pale home inapikwa chai vitafunwa utajiju,
Kesho yake nikasikia kuna kibarua cha ujenzi pale breweries jamaa kunipa matumaini kabisa nitakuwa saidia fundi ila natakiwa kuwahi sana,

Sikulala hiyo siku na sina saa nilipo chungulia nje nikajua kumepambazuka bwana ,nikakimbia faster mpk kariakoo
Kumbe ilikuwa saa 8 usiku ilikuwa mbalamwezi tu ile, nafika breweries nasikia jogoo saa 9 usiku.

Nikajificha kwa walinzi kupambazuke, kweli maisha nomaa
 
Maisha nomaaa
 
Back
Top Bottom