Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
Pole sana mkuu.. Jamaa yangu wamemfilisi kibanda cha tigo pesa kwa style hiyo hiyo.. Mtu akiomba chenji ujue imekula.. Ndio maana kuna watu hawatoagi chenjiHa ha haaaa, Kama jamaa alinifanyia Hii kitu basi alinikomoa haswaaa
hhahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa umeniacha hoi kabisa mkuu kumbe ndo wewe siku ile ya paper la history ukawa umedata unapiga makelele kumbe uliona kitu kingine kwenye paperSiku ya kuamkia NECTA ya formIV Niliamka saa8 usiku kupitia notice za NATIONALISM swali nikakuta la COLONIALISM dah ilibidi nihesabu mabati kwanza.
mbona una maswali sana kwa mwenzio jamaniIlivunjwa lini? [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Itakua lishabomolewa kabisa mkuumbona una maswali sana kwa mwenzio jamani
bado kabaiti halijavunjwa mpaka sasa hahahahahaaaaaaaaaaaaa
hahahahanikiwa mdogo nilienda kumtembelea mjomba nikajikojolea usiku, nilitamani ule usiku udumu hata wiki
acha banaIlivunjwa lini? [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12]nakumbuka usiku wa kuamkia kuanza form one ulikuwa na mawenge sana kwangu, nilivaa uniform saa nane usiku na kunywa chai kabisa kisa excitement ya kuanza shule. maza anashtuka ananikuta napiga silesi ya mkate nimechomekea uniform usiku mkali, aliishia kucheka tu.
hapana mkuu.. utundu kiasiinaonyesha ulikua mtundu sana
ha hahahahahaaMi nilipiga dili nikahaidiwa ntalipwa Kwa M-Pesa kabla ya saa nane za mchana.Nilikuwa naangalia salio na kufungua inbox mpaka macho yakawa mekundu kama nimetoka kupikia kuni.Kufikia saa kumi ngoma bado,nikapata wenge kila nikisikia mlio wa sms iwe simu ya jirani au mtu aliyekaribu yangu mimi ndo nikawa naangalia kama sms imeingia ya hela.Hii siku ilikuwa kama mwaka ukichangia na shida ya fedha niliokuwa nayo.
Hahahahanikiwa mdogo nilienda kumtembelea mjomba nikajikojolea usiku, nilitamani ule usiku udumu hata wiki
ha hahahaha uwiiinikiwa mdogo nilienda kumtembelea mjomba nikajikojolea usiku, nilitamani ule usiku udumu hata wiki
Hahahahhahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sasa mkuu ulienda kumkejeli au ulimaanisha?Kuna demu mzuri shombe shombe alikuja kwa Uncle wake jirani baada ya 3 day nikatupa ndoano akakubali next day nikala mzigo lodge hiyo siku mida usiku akanutumia msg..
She-Naomba msamaha kabla sijakuambia. Nilitaka kukuambia kuwa nimeadhirika na HIV tutumie condom lakin nilisahau kwa utamu uliokuwa unanipa Naomba msamaha
Duh!! Nilipatwa na Bp ya ghafla kijasho mpaka kwenye ikulu sikupata usingizi nilishutkia ni 6:46 Am nilivaa nguo chap nakuelekea VCT kupima njian niliona kama sifiki hatua mbili mbele kumi nyuma nikapima fresh majibu "Negative" after 3 month majibu tena "negative" basi nikaona mi ni mzima basi nikamfata nikamwambia nimekusamehe lakini nahamu na papuchi yako sana..
Pole sana aisee...Nakumbuka mwaka 2001, nikiwa Morogoro, nilipata dili la matikiti Dar. Kuna mteja alihitaji matikiti 500, kila moja buku. Sasa mie nikayasaka nikapata kwa mia nne na muuzaji alikuwa na tikiti ka 800. Sasa issue ilikuwa nina Tsh 60,000 mfukoni. Nikaamua kwenda kwa rafiki yangu Nsindi. Huyu jamaa alikuwa na bucha na yeye ni mwenyeji wa Gamasala Tarime.
Sasa jamaa ni mkorofi haswa na wengi walimwogopa ila mie tulielewana japo kwa manati. Nikamuomba aniazime laki nne na nusu na nitamrudishia asubuhi. Jamaa nikamuelezea dili lenyewe na kumsihi sana aniazime. Akakubali ila kwa sharti kesho 12 asubuhi ataifuata ili akanunue ng'ombe machinjioni. Nilitoka hapo nduki na baiskeli kuelekea kwa mkulima wa matikiti.
Tobaaa, nilipofika, mkulima akaniambia kayauza yote kwa 450, nilimaindi ila nikaamua kurudisha pesa ya Mkurya. Heee, ile kujikagua nikakuta mfukoni kuna coin ya shilingi 20 tu! Nilivurugika. Nilizitafuta hizo jela mpaka kwenye Ndala nilizovaa.
Sasa Usiku huo, sikulala kabisa, nikawazaaa namwambiaje jamaa. Nilistuka saa 11 alfajili nagongewa mlango na sauti ya mkurya.
Je, wewe ni tukio gani lilikufanya usilale?