Kitang'wa1
JF-Expert Member
- Dec 4, 2014
- 460
- 285
Babu alisema "usiku wa deni unakucha mapema sana"!!!!so usishangaeNakumbuka mwaka 2001, nikiwa Morogoro, nilipata dili la matikiti Dar. Kuna mteja alihitaji matikiti 500, kila moja buku. Sasa mie nikayasaka nikapata kwa mia nne na muuzaji alikuwa na tikiti ka 800. Sasa issue ilikuwa nina Tsh 60,000 mfukoni. Nikaamua kwenda kwa rafiki yangu Nsindi. Huyu jamaa alikuwa na bucha na yeye ni mwenyeji wa Gamasala Tarime.
Sasa jamaa ni mkorofi haswa na wengi walimwogopa ila mie tulielewana japo kwa manati. Nikamuomba aniazime laki nne na nusu na nitamrudishia asubuhi. Jamaa nikamuelezea dili lenyewe na kumsihi sana aniazime. Akakubali ila kwa sharti kesho 12 asubuhi ataifuata ili akanunue ng'ombe machinjioni. Nilitoka hapo nduki na baiskeli kuelekea kwa mkulima wa matikiti.
Tobaaa, nilipofika, mkulima akaniambia kayauza yote kwa 450, nilimaindi ila nikaamua kurudisha pesa ya Mkurya. Heee, ile kujikagua nikakuta mfukoni kuna coin ya shilingi 20 tu! Nilivurugika. Nilizitafuta hizo jela mpaka kwenye Ndala nilizovaa.
Sasa Usiku huo, sikulala kabisa, nikawazaaa namwambiaje jamaa. Nilistuka saa 11 alfajili nagongewa mlango na sauti ya mkurya.
Je, wewe ni tukio gani lilikufanya usilale?
mkuu mimi naogopa mimba asikwambie mtuDaah aisee, yaani nimecheka sana tu, watu kweli tuna vituko na historia kiasi. Watu pia tunajua kuunda maneno, ya ni vipaji tosha.
Nilichogundua wengi mnaogopa kama siyo kuhofia, mimba na ukimwi. Kinga ziwahusu basi aisee.
Wote niliowa-like, mjue mmenichekesha sana.
Ahsante!
swali la muhimu ni je mkurya aliendelea na bucha au ilibid afunge tu?
naona ikabidii ubaki kwenye series za kikorea tu
Hebu malizia stori sasa, mambo gani ya kutupa stori nusu
Amesha malizia wakuu pitieni comment jamaa mkurya alimpa vitasa vya kutosha hahahaMalizia kwanza kilichokukuta apo..ndo na sis utuulize***sawae? Dogo
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sio la nne D kweli2001 nilikuwa bado darasa la ......
tokaSio la nne D kweli
Sijui enzi zenu, sisi tulikuwa tunalala watoto wengi kwenye kitanda kimoja tunapoenda kutembelea ndugu zetu. Ukijikojolea unabadilisha nguo fasta halafu unamhamisha mwingine kwenye eneo la tukio. Problem solved.nikiwa mdogo nilienda kumtembelea mjomba nikajikojolea usiku, nilitamani ule usiku udumu hata wiki
Wife kashapita hapa na kaisoma na ameshajua kuwa ni wewe.. So mkuu umeruka ma.vi umekanyaga kisu tena nchani kabisaaaaKuna kipindi wife alikuwa kasafiri nikawa nimebaki nyumbani na watoto pamoja na house girl. Baada ya muda akaja shemeji yangu mdogo wake na wife. Kiukweli ni matata sana kwa uzuri. Wife ni mzuri ila kafunikwa mdogo wake kwa uzuri. Huyo shemeji yangu alikuwa ni mwanachuo na alikuwa akija mara zote afungapo chuo. Alikuwa amenizoea sana na utani mwingi sana mara aniite "mume wetu" kwa wife hilo halikuwa na shida kwani alijua kila mtu anaheshimu mipaka yake. Ilikuwa ni kawaida sana kunikumbatia hata mbele ya wife. Mimi wakati wote nilikuwa katika wakati mgumu sana maana nilikuwa namtamani sana na ule utani nilijua kuwa naye atakuwa ameshaelekea kibra .
Wakati akiwa safari akaja likizo akawa anaendeleza utani kama kawa mara mume wangu leo utakula nini mara mume wangu lini utanitoa out,,, visa vingi tu. Ikiwa imebaki siku moja wife arudi nikaazimia kutimiza azima yangu ya kulala naye. Usiku baada chakula akiwa anatazama tv nilienda kukaa pembeni yake. Baada ya housegirl kwenda kulala nilianza majonjo kama utani naye akawa anaitikia sawia. Nikajua nimepata kibali, si nikamgeuza kichwa nikataka nimpe denda akashituka akasogea mbali nikamfuata nikamhoji vip mke wangu akaniambia "Shem uwe na adabu" hakuwa serious kivile nikajua masihara nikapeleka mikono kwenye kifua chake akaipanch. Akatoka kwenye kochi nakwenda kusimama kwenye korido. Ukweli ni kwamba hata yeye hali yake ilionekana si nzuri nikajua ni mbwembe tu nikaenda alipo nikambana ukutani nikawa namlazimisha tubadilishane mate. Sijui alipata wapi nguvu mana alikuwa kishalainika, ghafla akanisukuma na kujinasua na kuniambia shem sitaki upuuzi nakuja kumuambia dada unachotaka kufanya.
Nilitoka nikaingia chumbani alfajiri nikaenda kazini bila hata kunywa chai. Jioni nikaenda kumpokea wife Ubungo, tulifika nyumbani usiku, sikutaka wife apate nafasi ya kuwa peke yake na mdogo wake asije akang'atwa sikio. Usiku ulikuwa mfupi sana mana sikutaka kupambazuke mana nilijua nikienda kazini shem atapata fursa ya kumtonya wife. Sikuwa na raha mpaka shem anaondoka ajabu yeye aliendelea na utani wake hata leo.
Me usiku uliowahi kuwa mfupi ni juzi juzi tu nililala saa 9 usiku nikaamka saa 10 usiku, kwa kweli usiku huu ulikua mfupi sana
Haha dah! Mkuu kwahiyo unakula kwa machoKuna kipindi wife alikuwa kasafiri nikawa nimebaki nyumbani na watoto pamoja na house girl. Baada ya muda akaja shemeji yangu mdogo wake na wife. Kiukweli ni matata sana kwa uzuri. Wife ni mzuri ila kafunikwa mdogo wake kwa uzuri. Huyo shemeji yangu alikuwa ni mwanachuo na alikuwa akija mara zote afungapo chuo. Alikuwa amenizoea sana na utani mwingi sana mara aniite "mume wetu" kwa wife hilo halikuwa na shida kwani alijua kila mtu anaheshimu mipaka yake. Ilikuwa ni kawaida sana kunikumbatia hata mbele ya wife. Mimi wakati wote nilikuwa katika wakati mgumu sana maana nilikuwa namtamani sana na ule utani nilijua kuwa naye atakuwa ameshaelekea kibra .
Wakati akiwa safari akaja likizo akawa anaendeleza utani kama kawa mara mume wangu leo utakula nini mara mume wangu lini utanitoa out,,, visa vingi tu. Ikiwa imebaki siku moja wife arudi nikaazimia kutimiza
Uzuri sijataja jina hata eneo tunaloishi wala kazi ninayofanya. Pia yeye si mwanachama mwandamizi wa JF. Anayeweza kutambua kisa hiki huyo shemeji wala si wife.Wife kashapita hapa na kaisoma na ameshajua kuwa ni wewe.. So mkuu umeruka ma.vi umekanyaga kisu tena nchani kabisaaaa