Ni usiku gani uliisha mapema kwako? Wangu huu hapa

Mkuu mpotezee Kama unaipenda ndoa yako. Mwambie no utani, na ukae mbali nae as cku wife akistukia, u will regret pakubwa
 
Mkuu mpotezee Kama unaipenda ndoa yako. Mwambie no utani, na ukae mbali nae as cku wife akistukia, u will regret pakubwa
Ukweli ni kwamba wife anajua huu utani maana huwa unafanyika hata mbele zake anachojua ni kwamba mtu Shemeji wanataniana pia wanajua mipaka yao. Tatizo ni pale mimi nilipozidiwa na tamaa na kutaka kuvuka mipaka ya ushemeji.
 
Sasa we endelea tu, jua hayo mambo huanza Kama utani, cku akikukuta umefungulia mbuzi kwenye shamba la mahindi, uje utusimulie mmiliki alimfanyaje huyo beberu...
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji24] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Shem wako ana msimamo
 
Geto tuko na mwalimu alikula mtoto wa shule na baada ya wiki hivi binti akamwambia 'mwalimu sioni siku zangu' jamaa alikuwa anageukia kila upande kila baada ya dakikia 5 akiwaza na sisi tulilala kimang'amung'amu.
Hhahahahahahahahaha aisee ni hatari.
 
Nilitoka mbeya kuja kwa Shangazi keko kwa mara ya kwanza kuja dsm hiyo , duuu maisha ya pale home inapikwa chai vitafunwa utajiju,
Kesho yake nikasikia kuna kibarua cha ujenzi pale breweries jamaa kunipa matumaini kabisa nitakuwa saidia fundi ila natakiwa kuwahi sana,

Sikulala hiyo siku na sina saa nilipo chungulia nje nikajua kumepambazuka bwana ,nikakimbia faster mpk kariakoo
Kumbe ilikuwa saa 8 usiku ilikuwa mbalamwezi tu ile, nafika breweries nasikia jogoo saa 9 usiku.

Nikajificha kwa walinzi kupambazuke, kweli maisha nomaa
 
Maisha nomaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…