Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Asije akajitokeza mtu kufanya uwendawazimu huu. Vyombo vya ulinzi na usalama mkiona viashiria tu mtimueni haraka sana mwenye fikra za KIPUMBAVU kama hizi.
Amen.Babeli inaanguka,walio juu wajishikilie na walio chini kifusi kinakuja.Hakuna jiwe litasalia juu ya jiwe.
Hakika mkuu. Taifa liwe la dini flani nakataa katakata hata ikiwa dini yangu nitakataaaWale wahuni walienda Zimbabwewakairambulisha Tanzania kama Jamhuri ya Kiislam! Na kuthibitisha kuwa waiyokuwa wameyasema yanaungwa mkon na watawala, hakuna alitekemea au kukanusha.
Halafu huko zinapita clip eti, Rais ni muislam, Waziri wa mambo ya nje ni muislam, mwanasheria mkuu ni muislam, tunashindwaje kujiunga na jumuia ya nchi za kiislam!!
Tusiukubali huu upuuzi. Tanzania ibakie kuwa nchi isiyo ya kidini, dini iendelee kubakia ni suala binafsi la mwananchi.
Bashungwa anayefungia makanisa ni RCWale wahuni walienda Zimbabwewakairambulisha Tanzania kama Jamhuri ya Kiislam! Na kuthibitisha kuwa waiyokuwa wameyasema yanaungwa mkon na watawala, hakuna alitekemea au kukanusha.
Halafu huko zinapita clip eti, Rais ni muislam, Waziri wa mambo ya nje ni muislam, mwanasheria mkuu ni muislam, tunashindwaje kujiunga na jumuia ya nchi za kiislam!!
Tusiukubali huu upuuzi. Tanzania ibakie kuwa nchi isiyo ya kidini, dini iendelee kubakia ni suala binafsi la mwananchi.
Na bahati mbaya sana hilo halipo Tanzania. Labda kama umeota ukiwa umelala baada ya kula viazi mbatata (hata kama sivijui vinafananaje)! Ahahahahaha!!Asije akajitokeza mtu kufanya uwendawazimu huu. Vyombo vya ulinzi na usalama mkiona viashiria tu mtimueni haraka sana mwenye fikra za KIPUMBAVU kama hizi.
kipagani ingependeza zaidiMh!!! Bora iendeshwe kiislamu
Hivi 'Ponjoro" huyu jirani yako, Gwajiboy, mbona kakuvuruga akili kiasi hiki?Asije akajitokeza mtu kufanya uwendawazimu huu. Vyombo vya ulinzi na usalama mkiona viashiria tu mtimueni haraka sana mwenye fikra za KIPUMBAVU kama hizi.
Ni hatari sana mkuu.Hivi 'Ponjoro" huyu jirani yako, Gwajiboy, mbona kakuvuruga akili kiasi hiki?
LOoooh!, Samahani; kumbe si huyo mtani wako; bali unamzungumzia yule mwenye Hema ale Tanganyika Packers; au siyo?
Sasa ngoja nikwambie ukweli, bila ya utani ndani yake. Hao unao wasema, bila ya kufafanua lolote juu yao, usifikiri wana utani watu hao. Ukitaka kujuwa wasivyokuwa watu wenye soni kufanya jambo lolote la kushangaza, angalia waliyofanya ndani ya muda huu mfui tu!
Kwani hili la bandari lilitokea waPi; wewe uliwahi kulisikia kabla ya ujio wao; Gesi ya Ntorya, uliwahi kusikia lolote likisemwa hadharani kuihusu; maori ya 'carbon credit', ambayo waTanzania hawawezi kuyatunza wenyewe,...,n.k., n.k.
MaPadre wanagongwa vichwani vichwani na vitu butu kwa nia ya kuwatoa roho; umesikia lolote toka kwao?
Na Mzee Kibao je,?
Na haya yote yaliwezekana wakati hata hawakuwa wamewekwa serikalini kwa kura za wananchi. Sasa nieleze itakuwaje endaPo watajichukulia miaka mitano kwa nguvu; ni nani, au kitu gani kitawazuia kufanya maajabu kama hayo unayo ogoPa hata kuyatolea ufafanuzi kwenye mada yako.
PoleNa bahati mbaya sana hilo halipo Tanzania. Labda kama umeota ukiwa umelala baada ya kula viazi mbatata (hata kama sivijui vinafananaje)! Ahahahahaha!!
Hakuna nchi inayoendeshwa kikatoliki duniani. Vatican, siyo nchi.Wakatoliki wanataka nchi iendeshwe kikatoliki
Naam, ni ufala kabisa, vyombo viwadhibiti mapema.Wale wahuni walienda Zimbabwewakairambulisha Tanzania kama Jamhuri ya Kiislam! Na kuthibitisha kuwa waiyokuwa wameyasema yanaungwa mkon na watawala, hakuna alitekemea au kukanusha.
Halafu huko zinapita clip eti, Rais ni muislam, Waziri wa mambo ya nje ni muislam, mwanasheria mkuu ni muislam, tunashindwaje kujiunga na jumuia ya nchi za kiislam!!
Tusiukubali huu upuuzi. Tanzania ibakie kuwa nchi isiyo ya kidini, dini iendelee kubakia ni suala binafsi la mwananchi.
Na hawataweza tutamtundika Padri msalabaniHakuna nchi inayoendeshwa kikatoliki duniani. Vatican, siyo nchi.
Hata hivyo, Tanzania has no business with any religion as a country.
"...bahati mbaya..."?Na bahati mbaya sana hilo halipo Tanzania. Labda kama umeota ukiwa umelala baada ya kula viazi mbatata (hata kama sivijui vinafananaje)! Ahahahahaha!!
Umo humu JF, kwa sababu hiyo tu moja, ya dini. Rudi nyuma kwenye michango yote tokea uingie JF Wewe utakuwa umeachwa nyuma na wale waliokimbilia Msumbiji?Na hawataweza tutamtundika Padri msalabani
Sa100 na Msoga must go!! Hii nchi ni ya Bwana, na haya yameshathibitishwa na mgogoro wa babeli... Hata watumie akili vipi Babeli imeanguka tu....Wale wahuni walienda Zimbabwewakairambulisha Tanzania kama Jamhuri ya Kiislam! Na kuthibitisha kuwa waiyokuwa wameyasema yanaungwa mkon na watawala, hakuna alitekemea au kukanusha.