Ni UWENDAWAZIMU kutaka taifa la Tanzania liandaliwe kutawaliwa kwa sheria za dini fulani

Nyinyi mipumbavu
Hivi hamna cha maana kujadili zaidi ya huyu dini gani na wale ni dini gani?
Vichwa vimejaa mavi tu
Kutwakuchwa humu ni hii dini imefanya hivi au ile dini fulani imepanga kufanya hivi
Kweli huu mtandao umejaa vilaza
Pumbvu
 
Kama mnaburuzwa hivi kwa miaka yote hii, hata mlipotaka kuandamana mkaletewa wajeda kusafisha jiji tena kwa fagio tu mkanywea ndani.

Yaani akija Rais yeyote na kusema lolote bado mtakaa kimya tu

Mna watu leo wanajitokeza hadharani kisa matumbo yanaunguruma na si vingine
Msidanganywe eti ukombozi unakuja
Watu wanaiba mabilioni na huoni anaefungwa

Vidole kwenye keyboards tu
Hahahaa, wewe umechukua hatua gani.
 
Kwa miaka hii sio rahisi hilo jambo kutekelezeka. Dini kubwa ni uislam na ukristo, ukisema iwe ya kiislam uislam wa dhehebu gani ?? Sunni au Shia maana hiawezi kua ya vyote.
Wakiamia iwe mojawapo kati ya Sunni au Shia bado mtafaruku utaendelea.

Kwa tulipofika hakuna kiongozi wa nchi atawaza upuuz wa namna hiyo. Hao ni wachumia tumbo tu ambao nao wanataka matamko yao yatrend.
 
Kama mnaburuzwa hivi kwa miaka yote hii, hata mlipotaka kuandamana mkaletewa wajeda kusafisha jiji tena kwa fagio tu mkanywea ndani.

Yaani akija Rais yeyote na kusema lolote bado mtakaa kimya tu

Mna watu leo wanajitokeza hadharani kisa matumbo yanaunguruma na si vingine
Msidanganywe eti ukombozi unakuja
Watu wanaiba mabilioni na huoni anaefungwa

Vidole kwenye keyboards tu
Hakuna aliyejuwa yaliyotokea Tunisia yangetokea na kusababisha mabadiliko yaliyotokea ghafla.

Maandamano, kama haya ya majirani zetu haPo kaskazini yanayozuka kwa msimu, na kunywea, baada ya damu kumwagika nyingi bila ya mabadiliko ya maana sioni kuwa ni 'model' nzuri kwetu kuiiga.

Lakini naamini ziPo njia sahihi kabisa za kuleta mabadiliko haPa kwetu bila ya kusababisha damu nyingi ya waTanzania kumwagika.
Sasa hivi ni wakati sahihi kabisa kuyatafuta mabadiliko haya. Sasa kama watakaohusika kuongoza mabadiliko hayo msukumo wao ni "kujaza matumbo yao", hilo nalo ni jambo linalotakiwa kujadiliwa kivyake.

Miaka ya 60 huko kulikuweo na vurugu nyingi, hasa mavyuoni kule kwenye nchi za Magharibi, ambazo sasa tunazisikia zimetulia; inawezekana nasi italazimu tuPitie kwenye hali hiyo kabla hatujaPata utulivu kama wao.
 
Na tuombe iwe hivyo, kwani haiwezekani kama nchi tunashindwa kusonga mbele kisa kikundi kimoja kushika madaraka bila kuwaza tunaenda wapi

Lakini najua ipo siku mabadiliko yatakuja na tutaweza kujimudu kama Taifa
 
Sina shaka yoyote kuhusu mabadiliko ndani ya nchi yetu sasa hivi. Tumeingia kwenye hatua ambayo mabadiliko ni ya lazima; hata kama yatakuwa ni mabadiliko ya ndani ya chama cha CCM; angalau kubadili ilikofikia sasa.

Kamwe haiwezi kuendelea hivi hivi.
 
Wengi wanajiona wana nguvu kwa sababu ya hizo hela wanazopiga kila leo.

Maneno ya kejeli na dharau mpaka mnaambiwa mhamie jirani, hayo ni matokeo ya upigaji

Watu wanakuwa na dharau kubwa kwa sababu hizo
Wanakuwa na confidence ya kuongea chochote kisa wanalindwa.

Ila mabadiliko ni lazima
Na kama atatokea mwenye uchungu na kudhibiti ubadhirifu wa Mali za umma basi tutafika
 
Back
Top Bottom