Ni UWENDAWAZIMU kutaka taifa la Tanzania liandaliwe kutawaliwa kwa sheria za dini fulani

Uko sahihi
Ila hawataweza,tulishagundua muda sn ,mpk 90 days ziishe kitakuwa kimeeleweka

Ngoma Iko rohoni inapigwa itafakamika tu
 
Marehemu Papa Francis si alibariki ndoa za jinsia moja tutamtundika padri juu ya msalaba kama yesu mkituletea huo ujinga
Nenda mozambiki delgado kwa ndugu zako huki hukuwezi kabisa hutopoma trauma zako utotoni kutoka kwa mwalimu wako wa madrasa
 
Andika comment fupifupi usichoshe watu kusoma pumba
Lucha una dalili zote za kuwa siku hizi unatafunwa.

Zamani ulikuwa na michango mizuri sana,but now days umebadilika kama zuwena wa diamond.

Una usenge mwingi sana.
 
Lucha una dalili zote za kuwa siku hizi unatafunwa.

Zamani ulikuwa na michango mizuri sana,but now days umebadilika kama zuwena wa diamond.

Una usenge mwingi sana.
Umejiunga jf jana alafu unajidai unaongelea habari za zamani we jf si umejiunga jana?
 
Na hawataweza tutamtundika Padri msalabani
wapi umewahi kusikia wakatoliki wanaongoza nchi mjuba? Hizo mbilinge ziko kwa waislam, wadhibitiwe wasituletee ujinga huo hatuutaki
 

Hoja ya udini ni muflisi. Mtu anaposhindwa kazi anakimbilia kuingiza udini. Wakati hata watu wa dini yake wengi tu hawamuamini 😀 😀 😀 😀

Hii hoja ya udini, haitamsaidia mtu. Yangu macho...
 
Kama mnaburuzwa hivi kwa miaka yote hii, hata mlipotaka kuandamana mkaletewa wajeda kusafisha jiji tena kwa fagio tu mkanywea ndani.

Yaani akija Rais yeyote na kusema lolote bado mtakaa kimya tu

Mna watu leo wanajitokeza hadharani kisa matumbo yanaunguruma na si vingine
Msidanganywe eti ukombozi unakuja
Watu wanaiba mabilioni na huoni anaefungwa

Vidole kwenye keyboards tu
 
Asije akajitokeza mtu kufanya uwendawazimu huu. Vyombo vya ulinzi na usalama mkiona viashiria tu mtimueni haraka sana mwenye fikra za KIPUMBAVU kama hizi.
Kuna wakati mnaandika tu. Hivi kuna mtu anaweza kuigeuza Tanzania ya dini moja? Acheni primitive nonsense zenu. Tanzania haitakaa iongozwe kwa Sharia wala Amri Kumi.
 
Asije akajitokeza mtu kufanya uwendawazimu huu. Vyombo vya ulinzi na usalama mkiona viashiria tu mtimueni haraka sana mwenye fikra za KIPUMBAVU kama hizi.

Nyinyi mipumbavu
Hivi hamna cha maana kujadili zaidi ya huyu dini gani na wale ni dini gani?
Vichwa vimejaa mavi tu
Kutwakuchwa humu ni hii dini imefanya hivi au ile dini fulani imepanga kufanya hivi
Kweli huu mtandao umejaa vilaza
 
Katoliki inaitawala tanzania tangu enzi za nyerere mpaka leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…