Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
- Thread starter
-
- #41
PumbvuNyinyi mipumbavu
Hivi hamna cha maana kujadili zaidi ya huyu dini gani na wale ni dini gani?
Vichwa vimejaa mavi tu
Kutwakuchwa humu ni hii dini imefanya hivi au ile dini fulani imepanga kufanya hivi
Kweli huu mtandao umejaa vilaza
Acha upotoshaji.Kuna wakati mnaandika tu. Hivi kuna mtu anaweza kuigeuza Tanzania ya dini moja? Acheni primitive nonsense zenu. Tanzania haitakaa iongozwe kwa Sharia wala Amri Kumi.
Hahahaa, wewe umechukua hatua gani.Kama mnaburuzwa hivi kwa miaka yote hii, hata mlipotaka kuandamana mkaletewa wajeda kusafisha jiji tena kwa fagio tu mkanywea ndani.
Yaani akija Rais yeyote na kusema lolote bado mtakaa kimya tu
Mna watu leo wanajitokeza hadharani kisa matumbo yanaunguruma na si vingine
Msidanganywe eti ukombozi unakuja
Watu wanaiba mabilioni na huoni anaefungwa
Vidole kwenye keyboards tu
Sasa si kitimoto si itapigwa marufukuMh!!! Bora iendeshwe kiislamu
Nimejawa na dini gani? Maana ndio natoka Kanisani misa ya kwanza."...bahati mbaya..."?
Naona umejawa na dini kichwani kiasi kwamba hujitambui na wala hujui unachoandika kinajiPinga chenyewe.
Wao ndo wanacyotaka iwe ya kiislamuSasa si kitimoto si itapigwa marufuku
Niko Havana 😂Hahahaa, wewe umechukua hatua gani.
SawaNiko Havana 😂
Kichwa pumbuzPumbvu
Ndiyo maana umePunguza sana kuonekana Pale "Kona", vijiwe vimekuwa na joto lisilokuwa la kawaida wakati huu.Nimejawa na dini gani? Maana ndio natoka Kanisani misa ya kwanza.
kihindu ingefaa mnokipagani ingependeza zaidi
Hakuna aliyejuwa yaliyotokea Tunisia yangetokea na kusababisha mabadiliko yaliyotokea ghafla.Kama mnaburuzwa hivi kwa miaka yote hii, hata mlipotaka kuandamana mkaletewa wajeda kusafisha jiji tena kwa fagio tu mkanywea ndani.
Yaani akija Rais yeyote na kusema lolote bado mtakaa kimya tu
Mna watu leo wanajitokeza hadharani kisa matumbo yanaunguruma na si vingine
Msidanganywe eti ukombozi unakuja
Watu wanaiba mabilioni na huoni anaefungwa
Vidole kwenye keyboards tu
Na tuombe iwe hivyo, kwani haiwezekani kama nchi tunashindwa kusonga mbele kisa kikundi kimoja kushika madaraka bila kuwaza tunaenda wapiHakuna aliyejuwa yaliyotokea Tunisia yangetokea na kusababisha mabadiliko yaliyotokea ghafla.
Maandamano, kama haya ya majirani zetu haPo kaskazini yanayozuka kwa msimu, na kunywea, baada ya damu kumwagika nyingi bila ya mabadiliko ya maana sioni kuwa ni 'model' nzuri kwetu kuiiga.
Lakini naamini ziPo njia sahihi kabisa za kuleta mabadiliko haPa kwetu bila ya kusababisha damu nyingi ya waTanzania kumwagika.
Sasa hivi ni wakati sahihi kabisa kuyatafuta mabadiliko haya. Sasa kama watakaohusika kuongoza mabadiliko hayo msukumo wao ni "kujaza matumbo yao", hilo nalo ni jambo linalotakiwa kujadiliwa kivyake.
Miaka ya 60 huko kulikuweo na vurugu nyingi, hasa mavyuoni kule kwenye nchi za Magharibi, ambazo sasa tunazisikia zimetulia; inawezekana nasi italazimu tuPitie kwenye hali hiyo kabla hatujaPata utulivu kama wao.
Sina shaka yoyote kuhusu mabadiliko ndani ya nchi yetu sasa hivi. Tumeingia kwenye hatua ambayo mabadiliko ni ya lazima; hata kama yatakuwa ni mabadiliko ya ndani ya chama cha CCM; angalau kubadili ilikofikia sasa.Na tuombe iwe hivyo, kwani haiwezekani kama nchi tunashindwa kusonga mbele kisa kikundi kimoja kushika madaraka bila kuwaza tunaenda wapi
Lakini najua ipo siku mabadiliko yatakuja na tutaweza kujimudu kama Taifa
Wengi wanajiona wana nguvu kwa sababu ya hizo hela wanazopiga kila leo.Sina shaka yoyote kuhusu mabadiliko ndani ya nchi yetu sasa hivi. Tumeingia kwenye hatua ambayo mabadiliko ni ya lazima; hata kama yatakuwa ni mabadiliko ya ndani ya chama cha CCM; angalau kubadili ilikofikia sasa.
Kamwe haiwezi kuendelea hivi hivi.
Hata saa hivi nipo nakunywa Konyagi hapa kijiweni. Karibu.Ndiyo maana umePunguza sana kuonekana Pale "Kona", vijiwe vimekuwa na joto lisilokuwa la kawaida wakati huu.
Nitakutazama kwa karibu sana, hizi wiki chache zifuatazo.Hata saa hivi nipo nakunywa Konyagi hapa kijiweni. Karibu.