Asije akajitokeza mtu kufanya uwendawazimu huu. Vyombo vya ulinzi na usalama mkiona viashiria tu mtimueni haraka sana mwenye fikra za KIPUMBAVU kama hizi.
kwa hiyo wamtimue nani, msoga? imefika mahali nchi hii watu ambao wameshaitafuna sana wanapeana kama zawadi tu. kwamba wengine wote msigombee wewe chukua hii, msoga hii nchi ni kama mali ya peke yake.