Father of All
JF-Expert Member
- May 30, 2026
- 458
- 843
Ukweli usemwe Bi Mkubwa Kichwani UMEME LOW VOLTAGE SANAView attachment 3600842
Akiwa nchini Urusi kwa ziada ya kikazi, rais Samia alijikuta katika mtanange ambapo mji wa St Peterburg ulishambuliwa na drone za Ukraine. Kwa kiongozi wa nchi, hii inaleta picha gani?
Mbali na hilo, alivyokuwa akihangaika kusoma wakati akitoa salamu za kawaida ambazo hazikuhitaji maandishi, inaonyesha ubovu wa kuwa na kiongozi mwenye elimu haba.
Leo, hayo ndiyo nimeona kwenye ziara hii .
Kwamba Vita vimeanza baada ya ujio wa Rais wa Tanzania 👈View attachment 3600842
Akiwa nchini Urusi kwa ziada ya kikazi, rais Samia alijikuta katika mtanange ambapo mji wa St Peterburg ulishambuliwa na drone za Ukraine. Kwa kiongozi wa nchi, hii inaleta picha gani?
Mbali na hilo, alivyokuwa akihangaika kusoma wakati akitoa salamu za kawaida ambazo hazikuhitaji maandishi, inaonyesha ubovu wa kuwa na kiongozi mwenye elimu haba.
Leo, hayo ndiyo nimeona kwenye ziara hii .
Samia tunae mpaak 2030 Mungu akipenda. Bora yeye anasoma wapo marais hata kusoma inakuwa shida!.View attachment 3600842
Akiwa nchini Urusi kwa ziada ya kikazi, rais Samia alijikuta katika mtanange ambapo mji wa St Peterburg ulishambuliwa na drone za Ukraine. Kwa kiongozi wa nchi, hii inaleta picha gani?
Mbali na hilo, alivyokuwa akihangaika kusoma wakati akitoa salamu za kawaida ambazo hazikuhitaji maandishi, inaonyesha ubovu wa kuwa na kiongozi mwenye elimu haba.
Leo, hayo ndiyo nimeona kwenye ziara hii .
Kwamba tangu awe rais hii ni ziara yake ya kwanza nje ya Afrika?View attachment 3600842
Akiwa nchini Urusi kwa ziada ya kikazi, rais Samia alijikuta katika mtanange ambapo mji wa St Peterburg ulishambuliwa na drone za Ukraine. Kwa kiongozi wa nchi, hii inaleta picha gani?
Mbali na hilo, alivyokuwa akihangaika kusoma wakati akitoa salamu za kawaida ambazo hazikuhitaji maandishi, inaonyesha ubovu wa kuwa na kiongozi mwenye elimu haba.
Leo, hayo ndiyo nimeona kwenye ziara hii .
Eti anafanya 'mazungumzo' na mwenyeji wake huku akisoma neno kwa neno kutoka kwenye note book, sasa si angebaki hapa bongo akamtumia email huyo Putin wake badala ya kututia hasara kusafiri na lundo la watu kwenda kufanya nonsense!.Ukweli usemwe Bi Mkubwa Kichwani UMEME LOW VOLTAGE SANA
Hakuna kitu pale Kiongozi, Hizi ndio sababu baada ya Magu kufa wakubwa fulani wali taka kupindua męża maana wanajua hili ni galasaEti anafanya 'mazungumzo' na mwenyeji wake huku akisoma neno kwa neno kutoka kwenye note book, sasa si angebaki hapa bongo akamtumia email huyo Putin wake badala ya kututia hasara kusafiri na lundo la watu kwenda kufanya nonsense!.
So what and what is your point here?Kwamba tangu awe rais hii ni ziara yake ya kwanza nje ya Afrika?
Anaweza kuwa na changamoto zake lakini kumtungia changamoto ni upuuzi.
Hakuna ajali ya kisiasa kama kuwa na bi kidude kama rais wetu. Lau angekuwa na commonsense achilia mengine.Samia tunae mpaak 2030 Mungu akipenda. Bora yeye anasoma wapo marais hata kusoma inakuwa shida!.
Mnajaribu kuipata matope ziara lakini yapo mengi ya faida kwa Tanzania kiuchumi yanayotokana na hiyo ziara.
Ukisoma vizuri utopolo ulioandika, utajua wewe ni chawa wa kiwango cha kutisha.Kwamba Vita vimeanza baada ya ujio wa Rais wa Tanzania 👈
nilitegemea Watanzania tujivunue Rais wetu kukutana na Rais Putin
kimkakati ni tukio la kupongezwa sana na limekuja wkt mwafaka
SSH anao uelewa wenye kuifaa nafasi ya urais, kwa maana ya wanaomsaidia ni wale ambao wanamfaa yeye kuliko ufahamu wetu mdogo unavyoweza kuwahukumu.Hakuna ajali ya kisiasa kama kuwa na bi kidude kama rais wetu. Lau angekuwa na commonsense achilia mengine.
Utter hooey. Shame on you!SSH anao uelewa wenye kuifaa nafasi ya urais, kwa maana ya wanaomsaidia ni wale ambao wanamfaa yeye kuliko ufahamu wetu mdogo unavyoweza kuwahukumu.
Mnaishia kujifariji kwa lugha za kejeli.Utter hooey. Shame on you!
Kama mnavyojifaidi kwa kujikomba na kujigonga na uchawa wenu na uchafu bila shaka kkkk!Mnaishia kujifariji kwa lugha za kejeli.