Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Mungu gani?Samia tunae mpaak 2030 Mungu akipenda. Bora yeye anasoma wapo marais hata kusoma inakuwa shida!.
Mnajaribu kuipata matope ziara lakini yapo mengi ya faida kwa Tanzania kiuchumi yanayotokana na hiyo ziara.