Father of All
JF-Expert Member
- May 30, 2026
- 458
- 843
- Thread starter
- #41
Lissu hana chawa wala siyo lazima kila mmoja awe chawa kama wewe anayenyevuliwa na kitu fulani kiitwacho ukosefu wa ubunifu na kujikomba na kuramba makalio ya wengine ili kujaza tumbo.Mimi nikiwa chawa wa CCM wewe chawa wa Lissu, kwa akili zako zinavyofanya kazi kwamba mwenye mawazo yanayojitegemea ni chawa!.