Ni uzembe au kutapatapa kama siyo kutengwa ziara ya Samia Urusi kupigwa mabomu na Ukraine?

Mimi nikiwa chawa wa CCM wewe chawa wa Lissu, kwa akili zako zinavyofanya kazi kwamba mwenye mawazo yanayojitegemea ni chawa!.
Lissu hana chawa wala siyo lazima kila mmoja awe chawa kama wewe anayenyevuliwa na kitu fulani kiitwacho ukosefu wa ubunifu na kujikomba na kuramba makalio ya wengine ili kujaza tumbo.
 
Nçhi inapita ktk kipindi ambacho aijawahi kupitia
 
Mabomu gani tena?
 
Lissu hana chawa wala siyo lazima kila mmoja awe chawa kama wewe anayenyevuliwa na kitu fulani kiitwacho ukosefu wa ubunifu na kujikomba na kuramba makalio ya wengine ili kujaza tumbo.
Lissu ni chawa wa hao wanaoumia kuiona Tanzania ikizihudumia nchi zinazotuzunguka kwa bandari yetu.

Lissu ni chawa wa hao maseneta wa Marekani. Yeye na wenzake kina Heche. Wanafanya uwakala kwa hao wazungu wenye kuchukia kuiona Tanzania ikiwa na sifa ya kuzisaidia nchi zote zinazotuzunguka katika kupata uhuru wao.

Mmarekani haupendi ushawishi wa Tanzania kwa mataifa yanayotuzunguka, kaianzisha bandari ya Lobito ili kujaribu kupunguza mzigo unaopitia pale TPA. Ni washenzi tu hao wazungu.
 
St peterburge ni kubwa ni sawa sawa na kuchukua mkoa wa dar es salama, Tanga, Morogoro na dodoma.,

Mabomu na sehemu ya mkutano ni mbali sana km dar to dodoma.

Ni kwel hatumpendi huyu mama mashavu ila shida inakuja moja tunareta mijadara weak sana haina ata nguvu wala ujazo

Ebu tuleteni mijadara heavy, yenye ujazo ambayo tunaweza ipeleka ata mtaani ika pata push na ikajadiriwa na wananchi
Sio hizi topic weak ambazo haziwastui vijana wa lumumba.
 
Kwamba Vita vimeanza baada ya ujio wa Rais wa Tanzania 👈

nilitegemea Watanzania tujivunue Rais wetu kukutana na Rais Putin

kimkakati ni tukio la kupongezwa sana na limekuja wkt mwafaka
Ulaya na Marekani wametupiga BAN
Unadhani atakimbilia wapi??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Tanzania( Tanganyika) tumeingia cha kike...
 
Zelensky vipi tena huna shabaha , hivi sasa ungekuwa hero wetu
 
Kama Lissu ni chawa basi wewe na samuya ni maviii
 
Miaka 5 itaisha huku CHADEMA mkipambana na kivuli cha Samia. Kwa huu upumbavu wenu hata 2030 CCM itawaburuza. Sasa hapo kuna hoja gani inayowaongezea point nyinyi kama chama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…