Ni uzembe sana kwa mwanamme kulipia room (hoteli) usiku wa saa nane kisha uka CASHOUT asubuhi ya saa mbili

Ni uzembe sana kwa mwanamme kulipia room (hoteli) usiku wa saa nane kisha uka CASHOUT asubuhi ya saa mbili

Thread za kula kulala hizi wa mwidebe.

Watu wanaplan familia unaziendesha vipi, wewe unawaza malaya utamfurahisha vipi.

Hopeless generation.

Familia huwa haziendeshwi mlamu, labda kama unawamiliki au unawafuga hao watu.
 
Nipo mahali nafurahia utamu wa mtoto wa kinyaturu kutoka singida hakika hawa wadada ni wamebarikiwa uzuri wa sura na utamu wa hali ya juu.
hapo pombe zipo au zimeisha kichwani?
 
Ila kusema rahisi mzee.
Omba tu Mungu akuepushe na uzee mbaya.
Kuwa mzee na umasikini Ni adhabu
Na kweli FAINALI UZEENI, nikifa maskini ni sawa sidhani kama nitakuja kuomba msaada humu ndani.
 
Sijasoma ulichoandika lakini nadhani utakuwa umeandika jambo la maana sana hivyo naunga mkono hoja
 
Vijana wa wivu sana kuwalia mabinti wao wa chuoni hapa chuo cha mipango wanatuonea wivu wazee, ila ndio hivyo nature imeamua tayari kila mtu ale kwa urefu wa kamba zake
Mzee kwa hiyo unachunguliwa hizo p#mb na hicho kinyeo na hao pisi kali? Huoni aibu kuchunguliwa makali o yako na kinyeo na binti below 23?

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Ila nyuzi zako we mzee wewe!huko dodoma kunawaka moto
 
Back
Top Bottom