mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,106
- 3,158
- Thread starter
-
- #41
Inaniuma kuona jinsi wanavyochezeshwa kigodoro na ccm.Ona jinsi Nyalandu anavyowachojoa nguo! hawajifunzi tu!?We ni nani hadi uwashauri chadema?
Huwa wasikii ushauri wale. Cha mno jia fae kwa natusi makali [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa sababu ni chama kikuu cha upinzani na mchango wake katika mageuzi ya kisiasa tumeuona,na ni dhahiri ni chama kilichoshindania dola kwa ukaribu kuliko vingine.Kwanini mnaichagua Chadema tu kuipa ushauri. Mbona kuna TLP, ADA TADEA, N.K? Ushauri wenu Chadema haitaki mbona mnangángánia?
Siyo lazima mkuu,chama ni wanachama,sera na utaratibu uliojiwekea,haiwezekani chama kipinge ushoga halafu kimpokee shoga kutoka chama kingine,au chama kipinge ufisadi halafu kiwakaribishe mafisadi eti kisa sheria hairuhusu kubagua,Sheria hairuhusu kubagua watu, iwe rangi, dini, kabila, au vyovyote, akitaka kuja kwako lazima umpokee.
Tatizo wanawaumiza mashabiki wao huku mtaaniUshauri wangu ni huu
Ya Ngoswe mwachie Ngoswe.
Sikio la kufa halisikii dawa.
Kwanini mnaichagua Chadema tu kuipa ushauri. Mbona kuna TLP, ADA TADEA, N.K? Ushauri wenu Chadema haitaki mbona mnangángánia?
Mashujaa wa CDM kama ilivyo vyama vingine sio wengi ni kama akina Mbowe na Lissu hawa wanaweza kuaminika.Kwa hiyo kwenye chama chenu mtu wa kujitoa mhanga ni MBOWE peke yake? sasa kuna haja gani kujiita makamanda?
Hapo MBOWE tu,Lisu siyo shujaa ila mjanjamjanja tu,tena huyo asipewe chama kabisa.Nataka kama akina Heche,Mnyika nk.MBOWE apumzishwe amechokaMashujaa wa CDM kama ilivyo vyama vingine sio wengi ni kama akina Mbowe na Lissu hawa wanaweza kuaminika.
Kwa sababu ni chama kikuu cha upinzani na mchango wake katika mageuzi ya kisiasa tumeuona,na ni dhahiri ni chama kilichoshindania dola kwa ukaribu kuliko vingine.
Ndio maana hatuachi kukishauri
Usitegemee siku ukaona padri/imamu na watu eti wanaenda kuizika chadema.Chama kinakufa kwa kupungua idadi ya wanachama,kuwa washindi wachache kwenye chaguzi,kuwa na migogoro isiyo na tija nk.Ki ufupi hayo ndio yanayofanya watu waseme chadema inakufa,na inakufa kweliNaona kuna mkanganyiko huko CCM. Ni muda sasa nimekuwa nikiwasoma makada kadhaa wakidai kuwa CHADEMA ilishajifia miaka hasa tangu “wamtupe” Dr. Slaa na kumchukua Lowassa. Kwamba hicho chama kilishapoteza ushawishi na Magufuli ndio akakizika rasmi kwa utendaji wake “uliotukuka”!
Sasa yaelekea hata kivuli cha CHADEMA kinaleta kizaazaa. Huko Bungeni unashangaa kusikia spika na waheshimiwa wakitumia muda mwingi kujibu kauli za wana CHADEMA zilizotolewa kwenye mitandao huku miswada rasmi ikipata superficial attention!
Anyway, uko sahihi kabisa kwamba CHADEMA ndicho chama rasmi cha wananchi katika kukabiliana na dola. Na kitaendelea “kutisha” hadi siku nchi itakapokaa sawa. Sina shaka wenye uelewa ndani ya dola/CCM wanajua hakuna namna ya kuiua CHADEMA. Hakika Mbowe amefanikiwa kutengeneza “zimwi” ambalo limeshampita kimo hata yeye. Btw. hakuna kiongozi wa CHADEMA mwenye uwezo wa kuwahalalisha covid-19. Ni wanachama na mashabiki wa chama ndio wataamua. Kwanza hadi sasa hao watu wameshapoteza ile “touch” special ya ki-CHADEMA waliyokuwa nayo kabla. Ndugai keshawapaka nuksi ya CCM.