Hii ni nadharia inayolazimishwa na wengi lkn haiko hivyo.
Hata ww mleta mada umejieleza ukionesha uko upinzani lkn sio kweli, bado wewe na wenzako mnaendelea kupandikiza hii chuki ya udini na ukanda ili kuendelea kuikandamiza Chadema na harakati zake.
Hawa jamaa (Chadema) wameonesha ukomavu mkubwa sana mpaka sasa, hata sisi wenyewe huku ndani tunaogopa.