M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Basi tufanye alijipa mwenyewe.Kesi ya Mbowe ya Ugaidi hakupewa na Magu, hapa unamsingizia tu Magu (Rip).
Basi tufanye alijipa mwenyewe.Kesi ya Mbowe ya Ugaidi hakupewa na Magu, hapa unamsingizia tu Magu (Rip).
Mfano kiongozi yupi wa Chadema alikashifu watu wa Pwani?Hapa watakupopoa lakini lazima tuseme hatuwezi kusifia kila kitu.
ukweli hata hapa jukwaani tumeona hilo mara kadhaa na sio kuhusu udini tu hata kuhusu makabila
Utasikia watu wa pwani hawana akili na maneno kibao
Hili taifa ni letu sote kama kweli chadema wamedhamilia kukomboa hili taifa lazima wajitathimini kuhusu matamshi yao sometimes wanazingua
Wewe ni Chawa au? Wakristo wanamchukia Samia bila kosa lolote kivipi?Wkt RAIS ni Benjamin William Mkapa
CUF kuna Rip Maalim Sefu
Uchunguzi wangu waislamu walimchukia Benjamin William Mkapa tu 👈
sababu za msingi hawakuanazo kabisa za kumchukia Benjamin 👈
Lkn Wakristo wengi walikuwa upande wa CCM na Benjamin William Mkapa na kuwaona baadhi ya waislamu na CUF yao kama wapumbavu vile👈
Lkn kumbe jamii zetu zinafanana sana kitabia na kiakili au tuseme kiupumbavu👈
Leo Waislamu wengi wapo na CCM ileile kwanini chuki yao ilikuwa ni mtu mmoja na ayupo tena 👈
na baadhi ya Wakristo wengi leo wanateseka kumchukia RAIS Dk Samia Suluhu Hassan pasi na kosa lolote👈
Kisa Dini yake tu mazuri yake yote kwao hawataki kuyajua
Kumbuka ugomvi wao sio CCM 👈
Tujipe muda 2030 Wakristo wengi wanalejea CCM
Lkn waislamu wasasa wameipenda CCM hata chini ya Rip JPM walitulia vizuri
kwao kiongozi yoyote wapo pamoja nae
uwatoi yoyote sawa muhimu
CCM tu ✅️
Wakristo baadhi yao wameamia kwa muda Chadema👈
Ukweli CCM itaendelea kushinda milele Sababu jamii izi za Dini haziwezi kuungana👈
Kwasasa Serikali inafanya bidii kutuunganisha kikabila👈
lkn ukweli Udini vitabaki nguzo za Usalama wa kitaifa✅️
Serikali itaendelea kuzitunza Dini zote kubwa kwa wivu kubwa🤠
Anapita mulemule alikopita nyerere, hakuna shidaKuna mdini kuliko huyu Mama😳
Taja awamu moja ambayo TEC hawakukosoa Serikali yake?TEC nafikiri huwa wanakuwa katika dilemma kubwa, wanapenda Demokrasia lakini wanapenda zaidi mtu wao akiwa anatawala kitini, dilemma kubwa huwa inakuja pale ambapo mtu wao anatawala huku kuna ukandamizaji kazi ya kutetea democracy inakuwa ngumu, ikitokea anayetawala sio mtu wao kazi yao ya kutetea demokrasia na kutaka mabadiliko inakuwa rahisi sana.
Sijui ni kwanini kwa makusudi kabisa anaamua kupotosha?Unataka kusema enzi za awamu ya 5 walibaki kimya?...hapana sio kweli.
Walisema sana hata humu nyuzi za nyaraka zipo.
Uliloongea linaweza kuwa kweli kwa sehemu tu hasa hapo kupenda watoto wao wa seminary wakalie kiti ila kwenye kusema watasema tu (hili lipo pande zote sio TEC tu).
Siku ikipatikana regime yenye Rais Mkristo asiye Mkatoliki (mf. Mlutheri, Anglican, Msabato n.k) nadhani hizi myth nyingi mlizonazo kuhusu TEC zitakufa.
Taja kiongozi Mkristo mmoja tu ambaye hafai unahisi amechukua nafasi ya Muislamu?zaidi ya asilimia 90% ya viongozi wa Chadema Bara ni wakristo.
Vijana wa Chadema kwa maana BAVICHA ndio unawakuta wamejaa mitandaoni wanawakashifu waislamu
Kwa hali kama hiyo ni ngumu sana Imani kwao kujengeka
Hauchomoki hapa mlokole zwazwaTaja awamu moja ambayo TEC hawakukosoa Serikali yake?
TEC nafikiri huwa wanakuwa katika dilemma kubwa, wanapenda Demokrasia lakini wanapenda zaidi mtu wao akiwa anatawala kitini, dilemma kubwa huwa inakuja pale ambapo mtu wao anatawala huku kuna ukandamizaji kazi ya kutetea democracy inakuwa ngumu, ikitokea anayetawala sio mtu wao kazi yao ya kutetea demokrasia na kutaka mabadiliko inakuwa rahisi sana.
Walokole hamchomoki hapa..hiyo ipo kwa dini zote.
..TEC walikuwa ktk dilemma wakati wa Jpm.
..Bakwata wako ktk dilemma kipindi hiki cha Ssh.
Walokole hamchomoki hapa
TEC walikuwa kwenye dilemma kwa sababu ni Magu ni mlokole mwenzao na hata Kardinali Pengo alimuita ni malaika
Bakwata walikuwa na JPM bega kwa bega, na kumsifia kedekede kwa kuwa alikuwa neutral
Ila sasa TEC wameota mapembe kama wakati wa Mwinyi na Kikwete ?
Kwanini ?
Ulitaka CCM ifute wanachama wake wote au?Hiyo sio shida ya CHADEMA, vyama vina tatizo la Ukanda na/au udini naturally.
CCM waliweza kukwepa hilo tatizo kwa sababu historia iliwabeba, chama dola kilichokua kimoja kwa wananchi wote chenye uongozi thabiti hadi ngazi ya shina, ndio kilijigeuza kuwa kuwa chama shindani cha kisiasa dhidi ya vyama vipya.
Pale 1992 ilitakiwa vyama vyote vya siasa vianze upya kwa ajili ya ushindani wa mfumo wa vyama vingi.
Shida ni dini moja kubwa kutaka, waziwazi, kuitumia CHADEMA kama jukwaa la kuishinikiza serikali kukidhi matakwa yao!Wenye shida ni waislamu au Chadema ?
Muonekano tu unatosha, kwani huko ulipo ndiyo mnasajili kwa majina?.Mnatumia mbinu ipi kubaini imani za wanaoshiriki hiyo mikutano au huwa mnawasajili waliohudhuria kwa dini zao?
Shida sio chadema, shida ni waislamu wa pwani wanaoona wanatoka ukoo mmoja na mwamedi 😁
Mimi nahusikaje apo ndugu mchangiajiHamna mnachowaza tofauti na uchaguzi.
Siku zinakaribia. Mungu anaenda kudili na nyinyi personally.
Huku nilipo wapi?Muonekano tu unatosha, kwani huko ulipo ndiyo mnasajili kwa majina?.