Mwaka 2010 Taasisi kadhaa za kiislamu ikiwemo ya Sheikh Ponda zilisimama upande wa mgombea wa Ccm dhidi ya Dr.Slaa ila ilipofika 2012 walipishana na serikali na Ponda alikamatwa na kushtakiwa kwa uchochezi huku akipigwa risasi ya bega kule Morogoro.Na awamu hii BAKWATA imefanikiwa sana kuzileta taasisi nyingi za Kiislamu pamoja chini ya mwavuli wake, nafikiri ni taasisi ya Sheikh Ponda tu ndio taasisi kubwa isiyo pamoja na BAKWATA.
Sidhani kama Mkapa alichukiwa na Waislamu wengi bila sababu, sababu za msingi zilikuwepo ila labda dini ikaongezea uzito zaidi, pia nafikiri ni hivyo hivyo kwa Samia dhidi ya Wagalatia wasiomkubali.Wkt RAIS ni Benjamin William Mkapa
CUF kuna Rip Maalim Sefu
Uchunguzi wangu waislamu walimchukia Benjamin William Mkapa tu 👈
sababu za msingi hawakuanazo kabisa za kumchukia Benjamin 👈
Lkn Wakristo wengi walikuwa upande wa CCM na Benjamin William Mkapa na kuwaona baadhi ya waislamu na CUF yao kama wapumbavu vile👈
Lkn kumbe jamii zetu zinafanana sana kitabia na kiakili au tuseme kiupumbavu👈
Leo Waislamu wengi wapo na CCM ileile kwanini chuki yao ilikuwa ni mtu mmoja na ayupo tena 👈
na baadhi ya Wakristo wengi leo wanateseka kumchukia RAIS Dk Samia Suluhu Hassan pasi na kosa lolote👈
Kisa Dini yake tu mazuri yake yote kwao hawataki kuyajua
Kumbuka ugomvi wao sio CCM 👈
Tujipe muda 2030 Wakristo wengi wanalejea CCM
Lkn waislamu wasasa wameipenda CCM hata chini ya Rip JPM walitulia vizuri
kwao kiongozi yoyote wapo pamoja nae
uwatoi yoyote sawa muhimu
CCM tu ✅️
Wakristo baadhi yao wameamia kwa muda Chadema👈
Ukweli CCM itaendelea kushinda milele Sababu jamii izi za Dini haziwezi kuungana👈
Kwasasa Serikali inafanya bidii kutuunganisha kikabila👈
lkn ukweli Udini vitabaki nguzo za Usalama wa kitaifa✅️
Serikali itaendelea kuzitunza Dini zote kubwa kwa wivu kubwa🤠
Kumbe mpaka Ponda na taasisi yake waliwahi kuwa washirika upande wa CCM!🤣🤣Mwaka 2010 Taasisi kadhaa za kiislamu ikiwemo ya Sheikh Ponda zilisimama upande wa mgombea wa Ccm dhidi ya Dr.Slaa ila ilipofika 2012 walipishana na serikali na Ponda alikamatwa na kushtakiwa kwa uchochezi huku akipigwa risasi ya bega kule Morogoro.
Kiufupi hizi Taasisi za kidini zinaweza kutumika na Ccm muda wowote kulingana na upepo ulivyo.
Kuna viongozi wa Dini ya Kikristo pia walipingana waziwazi na TEC na kuishutumu vikali kwa kufanya Siasa baada ya ule waraka wao kuhusu mkataba wa bandari.
Mwaka 2012-2014 liliibuka vuguvugu la Ponda na Sheikh Ilunga (Rip) waliokuwa wanapinga 'mfumo kristo'....Kumbe mpaka Ponda na taasisi yake waliwahi kuwa washirika upande wa CCM!🤣🤣
Walikorofishana nini na CCM vibaya hivyo mpaka wakawa mahasimu wa kudumu?
TEC nafikiri huwa wanakuwa katika dilemma kubwa, wanapenda Demokrasia lakini wanapenda zaidi mtu wao akiwa anatawala kitini, dilemma kubwa huwa inakuja pale ambapo mtu wao anatawala huku kuna ukandamizaji kazi ya kutetea democracy inakuwa ngumu, ikitokea anayetawala sio mtu wao kazi yao ya kutetea demokrasia na kutaka mabadiliko inakuwa rahisi sana.Mwaka 2010 Taasisi kadhaa za kiislamu ikiwemo ya Sheikh Ponda zilisimama upande wa mgombea wa Ccm dhidi ya Dr.Slaa ila ilipofika 2012 walipishana na serikali na Ponda alikamatwa na kushtakiwa kwa uchochezi huku akipigwa risasi ya bega kule Morogoro.
Kiufupi hizi Taasisi za kidini zinaweza kutumika na Ccm muda wowote kulingana na upepo ulivyo.
Kuna viongozi wa Dini ya Kikristo pia walipingana waziwazi na TEC na kuishutumu vikali kwa kufanya Siasa baada ya ule waraka wao kuhusu mkataba wa bandari.
Siyo ukweli. Unapotosha. Kenya, Zambia, Malawi wote walikuwa na vyama dola kama CCM na wamevitoa. Tatizo kubwa la Tanzania ni wananachi wenyewe. Hawajitambui na elimu inaweza kuwa sababu moja kubwa. Elimu kwa maana kuwa tunayosoma ni ya kukariri na kufanya mtu asiwe na upeo wa kuona mambo.Kuna kitu lazima tuelewe mkuu,
Kukiondoa chama dola kama CCM madarakani katika mazingira ya siasa zetu lazima ushindi uwe mkubwa hasa mpaka isiwezekane kuiba, lazima pia makundi yote ya kijamii yawe yanakipinga haswa. Pamoja na BAKWATA kudharauliwa ila bado ina wafuasi wengi sana nyuma yake kuliko taasisi nyingine yoyote ile ya Kiislamu na wao kuendelea kuikumbatia CCM kwa wazi kabisa ni changamoto kubwa kwa upinzani.
Ukitoa CUF na ACT ukweli ni kwamba majority ya opposition leaders wamejuwa ni Wakristo, iwe wakati wa Mkapa, Kikwete, Magu muuaji na hata huyu Bibi Kizimkazi muuaji. Kesi ya ugaidi Mbowe alipewa na Magu hivyo kusema eti Samia anachukiwa kwa sababu ya imani yake ni uongo wa wazi na upumbavu uliokithiri.Wkt RAIS ni Benjamin William Mkapa
CUF kuna Rip Maalim Sefu
Uchunguzi wangu waislamu walimchukia Benjamin William Mkapa tu 👈
sababu za msingi hawakuanazo kabisa za kumchukia Benjamin 👈
Lkn Wakristo wengi walikuwa upande wa CCM na Benjamin William Mkapa na kuwaona baadhi ya waislamu na CUF yao kama wapumbavu vile👈
Lkn kumbe jamii zetu zinafanana sana kitabia na kiakili au tuseme kiupumbavu👈
Leo Waislamu wengi wapo na CCM ileile kwanini chuki yao ilikuwa ni mtu mmoja na ayupo tena 👈
na baadhi ya Wakristo wengi leo wanateseka kumchukia RAIS Dk Samia Suluhu Hassan pasi na kosa lolote👈
Kisa Dini yake tu mazuri yake yote kwao hawataki kuyajua
Kumbuka ugomvi wao sio CCM 👈
Tujipe muda 2030 Wakristo wengi wanalejea CCM
Lkn waislamu wasasa wameipenda CCM hata chini ya Rip JPM walitulia vizuri
kwao kiongozi yoyote wapo pamoja nae
uwatoi yoyote sawa muhimu
CCM tu ✅️
Wakristo baadhi yao wameamia kwa muda Chadema👈
Ukweli CCM itaendelea kushinda milele Sababu jamii izi za Dini haziwezi kuungana👈
Kwasasa Serikali inafanya bidii kutuunganisha kikabila👈
lkn ukweli Udini vitabaki nguzo za Usalama wa kitaifa✅️
Serikali itaendelea kuzitunza Dini zote kubwa kwa wivu kubwa🤠
Waislam huwa mnakimbilia ACT na CUF na mmeona kuwa jambo hilo ndilo linawaangusha sasa mnaibambikizia CDM udini. Mmerogwa!CHADEMA ni chama chenye sera nzuri sana, maono ya juu na ya mbali ya karne ya 21 na watu wenye akili kubwa sana ila kwa bahati mbaya wamekuwa wa upande mmoja zaidi wa Ukristo. Ni nadra kukuta Waislamu wakijiambatanisha na CHADEMA.
Sijui kwa nini Waislamu wengi hawana mahaba kabisa na CHADEMA pamoja na CHADEMA kutetea mambo ambayo ni ya maslahi kwa raia wote!
Kwa nchi kama hii ya kwetu CHADEMA ina kibarua kigumu sana.
Unataka kusema enzi za awamu ya 5 walibaki kimya?...hapana sio kweli.TEC nafikiri huwa wanakuwa katika dilemma kubwa, wanapenda Demokrasia lakini wanapenda zaidi mtu wao akiwa anatawala kitini, dilemma kubwa huwa inakuja pale ambapo mtu wao anatawala huku kuna ukandamizaji kazi ya kutetea democracy inakuwa ngumu, ikitokea anayetawala sio mtu wao kazi yao ya kutetea demokrasia na kutaka mabadiliko inakuwa rahisi sana.
Kesi ya Mbowe ya Ugaidi hakupewa na Magu, hapa unamsingizia tu Magu (Rip).Ukitoa CUF na ACT ukweli ni kwamba majority ya opposition leaders wamejuwa ni Wakristo, iwe wakati wa Mkapa, Kikwete, Magu muuaji na hata huyu Bibi Kizimkazi muuaji. Kesi ya ugaidi Mbowe alipewa na Magu hivyo kusema eti Samia anachukiwa kwa sababu ya imani yake ni uongo wa wazi na upumbavu uliokithiri.
Mama anasema wakati wake wametoa nyaraka 8.Unataka kusema enzi za awamu ya 5 walibaki kimya?...hapana sio kweli.
Walisema sana hata humu nyuzi za nyaraka zipo.
Uliloongea linaweza kuwa kweli kwa sehemu tu hasa hapo kupenda watoto wao wa seminary wakalie kiti ila kwenye kusema watasema tu (hili lipo pande zote sio TEC tu).
Kumbe hoja ni nyaraka kuwa nyingi?... anyway kwa kilichotendeka kuelekea Oktoba 29 mpaka unyama ule bado nyaraka zilizotolewa ni chache.Mama anasema wakati wake wametoa nyaraka 8.
Kwa Magu nakumbuka walitoa kama nyaraka 2 au 3 hivi😁
Ukiachana na ulemavu wa akili ulionao!....ulemavu wa udini utakutesa sana!Ni nani katika uongozi wa CHADEMA ni Muislamu kwa sasa??
Shida sio chadema, shida ni waislamu wa pwani wanaoona wanatoka ukoo mmoja na mwamedi 😁Inategemea ni muislam wa wapi.
Waislam wamegawanyika katika mitazamo yao.
Wapo waislam wa Bara, ambao hawa uislam wao ni mixer uafrika.
Alafu kuna Waislam wa Arabuni. Yaani unakuta mtu ni muislam lakini anajiona kama muarabu au jamii ya Muhammed vile. Kundi hili la pili ni wachache sana.
Ni kama Wakristo tuu. Wapo Wakristo waafrika, alafu wakristo wayahudi. Ambao hujifanya kama wao ndio Waisrael sasa