Ni vigumu CHADEMA kuleta mabadiliko nchi kwa sababu ya udini

zaidi ya asilimia 90% ya viongozi wa Chadema Bara ni wakristo.
Vijana wa Chadema kwa maana BAVICHA ndio unawakuta wamejaa mitandaoni wanawakashifu waislamu

Kwa hali kama hiyo ni ngumu sana Imani kwao kujengeka
 
Kwenye serikali ya zanzibar kuna kiongozi mkiristo?

Mbona wanafanya vizuri sana kuliko mixer mnayofanya ccm bara?

Lini mara yako ya mwisho kwenda zanzibar?

Nenda ukaone maendeleo kwa maana ya maendeleo

Zanzibar asilimia 99% ni waislamu
 
CHADEMA ni chama chenye sera nzuri sana, maono ya juu na ya mbali ya karne ya 21 na watu wenye akili kubwa sana ila kwa bahati mbaya wamekuwa wa upande mmoja zaidi wa Ukristo. Ni nadra kukuta Waislamu wakijiambatanisha na CHADEMA.

Sijui kwa nini Waislamu wengi hawana mahaba kabisa na CHADEMA pamoja na CHADEMA kutetea mambo ambayo ni ya maslahi kwa raia wote!

Kwa nchi kama hii ya kwetu CHADEMA ina kibarua kigumu sana.
Kwani shida gani nyinyi Makobazi bakini na Chama lenu la Mauaji na Kiongozi wenu muuaji, lesb***
 
Hapa watakupopoa lakini lazima tuseme hatuwezi kusifia kila kitu.

ukweli hata hapa jukwaani tumeona hilo mara kadhaa na sio kuhusu udini tu hata kuhusu makabila

Utasikia watu wa pwani hawana akili na maneno kibao

Hili taifa ni letu sote kama kweli chadema wamedhamilia kukomboa hili taifa lazima wajitathimini kuhusu matamshi yao sometimes wanazingua

hiyo ndio rangi yao halisi, ni ngumu sana kubadilika
 
CHADEMA ni chama chenye sera nzuri sana, maono ya juu na ya mbali ya karne ya 21 na watu wenye akili kubwa sana ila kwa bahati mbaya wamekuwa wa upande mmoja zaidi wa Ukristo. Ni nadra kukuta Waislamu wakijiambatanisha na CHADEMA.

Sijui kwa nini Waislamu wengi hawana mahaba kabisa na CHADEMA pamoja na CHADEMA kutetea mambo ambayo ni ya maslahi kwa raia wote!

Kwa nchi kama hii ya kwetu CHADEMA ina kibarua kigumu sana.
Mmeishiwa hoja mnaanza kuleta hoja ya udini?.
 
Waislamu wachache wanaikubali CHADEMA humu ndani, wengi wanaipinga. Hata Zanzibar na Mikoa ya Lindi, Mtawara, Tanga na mengine yenye Waislamu wengi CHADEMA imekuwa inapata shida kufanya vizuri muda wote.
Toa ushahidi.
 
Ni kweli, ila ukiangalia hiyo mikoa uliyoitaja IQ yao ni ndogo sana, kifupi ni watu mwajuma hayana
 
Mtu yoyote anayeangalia dini kwanza ni Mpumbavu na hafai kwenye safari ya mabadiliko.

Kama Waislamu wataunguna kudai mabadiliko ya utawala bora nitaungana nao pamoja na Ukristo wangu. Sio kwa sababu ya Uislamu wao bali msimamo wao.

KATAA UDINI.
 
Ni nani katika uongozi wa CHADEMA ni Muislamu kwa sasa??
Swali lilitakiwa kwanini Bwana Hamis sio Kiongozi pale Chadema badala ya Michael ambaye uwezo wake mdogo?!

Huwa tunapiga kura kuchagua kiongozi wa Chama sio kiongozi wa dini.
 
CHADEMA ni chama chenye sera nzuri sana, maono ya juu na ya mbali ya karne ya 21 na watu wenye akili kubwa sana ila kwa bahati mbaya wamekuwa wa upande mmoja zaidi wa Ukristo. Ni nadra kukuta Waislamu wakijiambatanisha na CHADEMA.

Sijui kwa nini Waislamu wengi hawana mahaba kabisa na CHADEMA pamoja na CHADEMA kutetea mambo ambayo ni ya maslahi kwa raia wote!

Kwa nchi kama hii ya kwetu CHADEMA ina kibarua kigumu sana.
Sera na AGENDA ya CHADEMA yenye UDINI ni ipi???

Nitajie hata moja tu.
 
Wakati wa CUF, wagalatia wote waliaangalia dini ya Lipumba
Leo hii wanataka kobaz tufunge macho, wakijiaminisha wako wengi kuliko kobaz
Leo hii Kobaz wangekuwa wengi chadema ile millioni 300 ingekamilika ndani ya siku 1,
Chemsha bongo..............
 
Ccm wanajua nguvu ya dini Tanzania hii ndio maana wapo serious na muungano chadema wanajifanya hamnazo kupuuza hili na kutaka kusimamia sheria bila kujali matabaka ndio maana watakaa miaka buku wasipate madaraka ya nchi hii mtoa mada upo sahihi sana
Hamna mnachowaza tofauti na uchaguzi.

Siku zinakaribia. Mungu anaenda kudili na nyinyi personally.
 
CHADEMA ni chama chenye sera nzuri sana, maono ya juu na ya mbali ya karne ya 21 na watu wenye akili kubwa sana ila kwa bahati mbaya wamekuwa wa upande mmoja zaidi wa Ukristo. Ni nadra kukuta Waislamu wakijiambatanisha na CHADEMA.

Sijui kwa nini Waislamu wengi hawana mahaba kabisa na CHADEMA pamoja na CHADEMA kutetea mambo ambayo ni ya maslahi kwa raia wote!

Kwa nchi kama hii ya kwetu CHADEMA ina kibarua kigumu sana.

Kuna mdini kuliko huyu Mama😳
 
Back
Top Bottom