Ni vigumu CHADEMA kuleta mabadiliko nchi kwa sababu ya udini

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
CHADEMA ni chama chenye sera nzuri sana, maono ya juu na ya mbali ya karne ya 21 na watu wenye akili kubwa sana ila kwa bahati mbaya wamekuwa wa upande mmoja zaidi wa Ukristo. Ni nadra kukuta Waislamu wakijiambatanisha na CHADEMA.

Sijui kwa nini Waislamu wengi hawana mahaba kabisa na CHADEMA pamoja na CHADEMA kutetea mambo ambayo ni ya maslahi kwa raia wote!

Kwa nchi kama hii ya kwetu CHADEMA ina kibarua kigumu sana.
 
Screenshot_20260616-173300~2.png
 
We uko upande gani kwanza?
 
Hiyo sio shida ya CHADEMA, vyama vina tatizo la Ukanda na/au udini naturally.

CCM waliweza kukwepa hilo tatizo kwa sababu historia iliwabeba, chama dola kilichokua kimoja kwa wananchi wote chenye uongozi thabiti hadi ngazi ya shina, ndio kilijigeuza kuwa kuwa chama shindani cha kisiasa dhidi ya vyama vipya.

Pale 1992 ilitakiwa vyama vyote vya siasa vianze upya kwa ajili ya ushindani wa mfumo wa vyama vingi.
 
CHADEMA ni chama chenye sera nzuri sana, maono ya juu na ya mbali ya karne ya 21 na watu wenye akili kubwa sana ila kwa bahati mbaya wamekuwa wa upande mmoja zaidi wa Ukristo. Ni nadra kukuta Waislamu wakijiambatanisha na CHADEMA.

Sijui kwa nini Waislamu wengi hawana mahaba kabisa na CHADEMA pamoja na CHADEMA kutetea mambo ambayo ni ya maslahi kwa raia wote!

Kwa nchi kama hii ya kwetu CHADEMA ina kibarua kigumu sana.
Huo mtazamo wako tu,ila chadema ni chama chenye ushawishi kwa kila rika,dini,kabila n.k

Au hujawahi hata hudhuria mikutano yao ya kisiasa.?
 
CHADEMA ni chama chenye sera nzuri sana, maono ya juu na ya mbali ya karne ya 21 na watu wenye akili kubwa sana ila kwa bahati mbaya wamekuwa wa upande mmoja zaidi wa Ukristo. Ni nadra kukuta Waislamu wakijiambatanisha na CHADEMA.

Sijui kwa nini Waislamu wengi hawana mahaba kabisa na CHADEMA pamoja na CHADEMA kutetea mambo ambayo ni ya maslahi kwa raia wote!

Kwa nchi kama hii ya kwetu CHADEMA ina kibarua kigumu sana.
Hao unaohisi wapo na waislamu, wanachotufanya wakiona.
 
Mbona humu ndani kuna waislamu wengi wanaikubali Chadema na kuna wakristo wengi wanaipenda CCM?
Waislamu wachache wanaikubali CHADEMA humu ndani, wengi wanaipinga. Hata Zanzibar na Mikoa ya Lindi, Mtawara, Tanga na mengine yenye Waislamu wengi CHADEMA imekuwa inapata shida kufanya vizuri muda wote.
 
Back
Top Bottom