Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Nakupinga vibaya sanaCHADEMA ni chama chenye sera nzuri sana, maono ya juu na ya mbali ya karne ya 21 na watu wenye akili kubwa sana ila kwa bahati mbaya wamekuwa wa upande mmoja zaidi wa Ukristo. Ni nadra kukuta Waislamu wakijiambatanisha na CHADEMA.
Sijui kwa nini Waislamu wengi hawana mahaba kabisa na CHADEMA pamoja na CHADEMA kutetea mambo ambayo ni ya maslahi kwa raia wote!
Kwa nchi kama hii ya kwetu CHADEMA ina kibarua kigumu sana.