Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,686
- 14,373
Kwanza kabisa SIJAJUA ni mabadiliko gani unayo yamaanisha wewe………… Chama cha siasa sio LAZIMA kishike dola, kina namna nyingi ya kuleta mabadiliko Chanya kwenye jamii haswa ukizingatia siasa zetu chafu ambazo hakuna namna upinzani wanaweza kushinda bila ku force mabadiliko kwanza.CHADEMA ni chama chenye sera nzuri sana, maono ya juu na ya mbali ya karne ya 21 na watu wenye akili kubwa sana ila kwa bahati mbaya wamekuwa wa upande mmoja zaidi wa Ukristo. Ni nadra kukuta Waislamu wakijiambatanisha na CHADEMA.
Sijui kwa nini Waislamu wengi hawana mahaba kabisa na CHADEMA pamoja na CHADEMA kutetea mambo ambayo ni ya maslahi kwa raia wote!
Kwa nchi kama hii ya kwetu CHADEMA ina kibarua kigumu sana.
Nje ya kushika dola CDM tayari imekwisha fanya kazi kubwa sana ya kuleta mapinduzi ya kifikra kwa watanzania wote.
UDINI sio tatizo la nchi hii ila agenda ya KIPUMBAVU ya CCM kugawanya watu ili iwatawale.
Na kwa bahati mbaya sana kuna WAJINGA walioukubali huu ujinga na kuamini Uislam haupo pamoja na CDM.
Post kama hizi ndio vichecheo vya kijinga kuaminisha umma proganda za siasa chafu ambapo serikali ya ccm inaitumia BAKWATA kama chombo cha serikali kusukuma agenda zao za kipuuzi dhidi ya upinzani especial CDM
Kwa akili yako ndogo kabisa siajabu unaamini CDM huwa inashindwa uchaguzi kwasababu waislam hawaiungi mkono
Sitaki kuamini kama HUJUI proganda za CCM zilianza na Ukabila zikaja ukanda na sasa zimebakia udini dhidi ya CDM